Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Assalamualaikum Wana familia ya jf.
Nina ishi mbeya mjini sehemu inaitwa Airport ya zamani.
Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia.
Sifa zake
Awe mwanamke...
Vyuo vikuu vya USA, kuanzia, Jana, Harvard, Columbia wamekuwa, wanaandamana kupinga Israel, hapa kwetu ma zombie ya UDSM(chuo kikuu kikubwa TZ), yatakuwa, yanawaza, uvccm,kuteuliwa,na uchawa.
Wasalam mabibi na mababu...
Toka tarehe 14/4/2024 Tume huru ya uchaguzi imetoa tangazo la nafasi za kazi za muda katika kuboresha Daftari la kudumu la mpiga Kura.
Katika Jambo lililonishangaza...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Bila shaka umaarufu wa chadema unashuka kwa kasi, maandamano yao huko Bariadi yamejaa vitoto vyenye umri chini ya miaka kumi, ambavyo hatabkura havitapiga.
Wako watu walipendekeza Jeshi la Polisi Livunjwe na Kuundwa upya , lengo likiwa ni kuliboresha kwa kutimua hawa waliopo wenye akili za kizamani wakiwemo akina Muliro na wenzake na kuleta Askari...
Kufuatia taasisi ya Tiba na Mifupa (MOI) kupokea kwa wingi watoto wenye matatizo ya muda mrefu ya mifupa na viungo, wameamua kundaa kambi maalumu ya uchunguzi kwa watoto wadogo changamoto hiyo ili...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.