Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu samahani kuna panya mdogo anakaa kwenye gari yangu, nikiwa nimekaa muda mrefu nimepaki nasikia akitafuna vitu nikijaribu kuangalia ananyamaza. Nikiamka asubui nakuta vikapande pande vya...
10 Reactions
80 Replies
1K Views
Mlimbwende kunako kiwanda cha Utangazaji, Mjasiriamali na mwanamitandao maarufu Bongo, Niffer Jovin, maarufu kama "Niffer" amefunguka namna alivyohaha kujitafuta hadi kufikia mafanikio makubwa...
28 Reactions
532 Replies
35K Views
Inasikitisha lakini ni funzo kwamba siri za chumbani ziishie chumbani Mnaojirekodi vyumbani video zenu hazipo salama kwa asilimia 100 kama mnavyojidanganya, Simu yako ikiibiwa inaweza kuwa...
2 Reactions
28 Replies
567 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
264 Reactions
160K Replies
4M Views
Mo Dewji Wewe kweli ni wa Kutufanyia haya Sisi wana Simba SC? Yaani una bahati nimekuja kuyanza Maisha mapya huku Kampaa Uganda ila hakyanani ningekuwa huko Dar es Salaam Tanzania ungenitambua...
7 Reactions
38 Replies
1K Views
Uelekeo ni mzuri katika ustaarabu wa kuweza kuyasuluhisha mambo bila kupigana kama ilivyozoeleka zamani. Ni kupevuka kwa akili na kupenda amani kumefanya tuweze kutumia midomo bila silaha, ngumi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mradi huu ni wa seriksli kwa kupitia Taasisi zake. Aliyeufisadi hajulikani. Na mwenye mradi hajulikani , lakini fedha zilizotumika ni za Watanzania. Sikumbuki kama kuna mtu yeyote...
1 Reactions
4 Replies
77 Views
Habari! Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100% Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda...
68 Reactions
819 Replies
10K Views
Habari zenu wakuu. Ni kijana mtanzania nina miaka 27. Kipindi ninachopitia kwa sasa kinanifanya kuwaza mambo mengi sana pasipo kupata majibu ya kueleweka. Hadi kufikia kuja humu basi ujue hali...
17 Reactions
70 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
508K Replies
28M Views

FORUM STATS

Threads
1,844,319
Posts
49,343,184
Members
665,235
Latest member
ifrs96
Back
Top Bottom