Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetambulisha rasimi huduma maalumu inayotambulika kama 'home-based care' ambayo itawawezesha wagonjwa wenye changamoto mbalimbali ambazo wamekuwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na...
Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku...
Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari.
Nikazama gugo kudadisi...
Hossein Hosseini, mlinda mlango wa klabu ya soka ya Esteghlal ya Iran, ameitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka ili kuelezea tukio la kumkumbatia shabiki wa kike.
Tukio hilo...
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe...
Habari wanaJF
Mwaka jana nilileta uzi kuomba msaada baada ya masiku ya kuhangaika na kukosa msaada kwa takriban miaka mitatu. Tatizo lilikuwa kukosa nguvu za kiume baada ya kuchepuka na aliekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.