Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna ajali mbaya sana imetokea Mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali. Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali...
3 Reactions
60 Replies
2K Views
Hawa ni baadhi tu ya watoto wanaoendelea kufa njaa na kiu mbele ya ulimwengu wakati vyakula vimejaa mpakani mwa Gaza
2 Reactions
4 Replies
32 Views
Mjengo kama huu ungekuwa upo kwenye jiji ambalo hata maji ni shida [emoji28]ungeambiwa ni bilioni moja kuukamilisha!, lakini ulaya bei yake ni usd 89,900 sawa na 20856 8000tsh!(milioni mia mbili...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Leo ndoa nyingi wanaume weng tunalia wanawake wetu hawana adabu hawatuheshimu wanatupangia unyumba, nk mnasahau kitu kimoja ya kwamba ili uheshimiwe lazima kuwepo na kitu kitachokufanya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
SERIKALI imetuma kikosi maalum cha askari wa kupamba na ujangili Wilaya ya Urambo, mkoani Tabora ili kukabiliana na nyoka aina ya Koboko ambao hadi sasa wamesababisha vifo vya watu wanne. Hayo...
5 Reactions
296 Replies
118K Views
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi. Sisemi tu kwa sababu...
31 Reactions
584 Replies
11K Views
Mabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foleni kubwa kwa barabara ya Dar - Chalinze na majeruhi kadhaa Hili nilikuwa jambo la kusubiria maana ligi zao...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Pamoja na mapenzi kwa timu yangu, ila mara kwa mara sijasita kuja na malalamiko dhidi ya uongozi wa Simba na moja ya maeneo yanayokera wengi yanahusiana na treatment ya wachezaji wake kuanzia wale...
8 Reactions
124 Replies
3K Views
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
14 Reactions
174 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,298
Posts
49,196,490
Members
663,983
Latest member
Mr samson
Back
Top Bottom