Recent content by zkambele

  1. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani wasanii wetu watoke na kibao kama hiki cha Kenya cha Jambo wageni wetu...kenya hakuna matat

    Mara nyingi watalii wanaoingia Tanzania wanaimbiwa kibao cha Kenya ambacho ukweli ni kizuri. Kwa kuwa ni wimbo wa kenya basi unakuta tunatoa Kenya penye Kenya tunaweka Tanzania na inakuwa haina maana sana kwani hata ukienda kwa internet au popote records zinakuwa na "Kenya", hapa huwezi toa...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Qatar airways: Home and dry in tanzania

    Mimi naona Tanzania mambo ya msingi kama kuendesha ATCL n.k. yametushinda lakini tunahitaji kujirudi na kufikiri! Hakuna wa kufikiri juu yetu bali sisi wenyewe.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kibonde yabandikwa UDSM

    weka hadharani tuone!
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi na utalii

    Asanti sani!
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi na utalii

    Naja kwenu wana jamii forum nikiwaomba mtembelee blog na site kama ilivyo hapa...please follow us!! TOURISM AND TRAVEL Real Adventure Tanzania Real Adventure | Tanzania Safari Adventure Company Asanteni!
  6. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Strange access to email account

    Greetings all, Please I would appreciate for your help. Today I learnt that my email account was accessed by strange IP's. I really dont know what happened and I dont know what I should do although I have already changed the password. I am using Google Apps for my web based account!!!! How...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Huooooooooo unanukia

    Haya sasa uchaguzi wakaribia!! Sijui tutegemee nini!! Maranyingi wananchi wanarubuniwa ili kuwapigia watu fulani kura na hasa kwenye kura za maoni! sijui mwaka huu itakuwaje. Siasa za namna hii zitakomeshwaje? Na viongozi wanaorubuni wananchi wanakuwa na maadili kweli katika utendaji wa kazi...
Back
Top Bottom