Recent content by Zee la shamba

 1. Zee la shamba

  CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

  umesema kweli nayo kweli itakuweka huru.
 2. Zee la shamba

  CCM bwana ,kozi siku mbili mnavaa majoho kusherekea kuhitimu

  Nchi ya wavaa majoho. Hata watoto wa chekechea huvaa Majoho. It's a shame
 3. Zee la shamba

  Dr Slaa na wabunge wawili wakamatwa

  Kikwete anatakiwa atumie busara kabla hajaamua jambo la kitaifa
 4. Zee la shamba

  Genge laundwa kumkabili Kikwete: Agenda 21?

  Na vipufu wawaongoze vipofu wenzao
 5. Zee la shamba

  Mkapa above the law?: Allegations

  Vijana hao watashtakiwa kwa kosa gani? kumzomea rais mstaaru au? mnaojua tuelimisheni
 6. Zee la shamba

  Muafaka CCM na CUF, pande mbili za shilingi!

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba ameomba kukutana na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad wazungumze kuhusu hatima ya mwafaka wa kisiasa visiwani Zanzibar. Habari zilizothibitishwa na baadhi ya viongozi waandamizi wa makao makuu ya CCM...
 7. Zee la shamba

  Kashfa ya Richmond: The FACTS

  WAHISANI wameitaka serikali kuhakikisha inatekeleza mapendekezo ya ripoti ya Kamati Teule ya Bunge, iliyoundwa kuchunguza mchakato wa zabuni ya umeme ulioipa ushindi Kampuni ya Richmond ya Marekani, ifikapo Juni, mwaka huu la sivyo hawatachangia bajeti ya 2008/9. Uamuzi huo wa Wahisani...
 8. Zee la shamba

  The Radar Scandal: Investigation & Progress

  *Ni wale wa makosa ya jinai waliompekua Dar *Asema wana mkono mrefu katika kuchunguza Na Ramadhan Semtawa SIKU moja baada ya wakili wake J Lewis Madorsky, kuibuka na kutema cheche, Andrew Chenge amesema makachero wa kuchunguza Makosa Makubwa ya Jinai kutoka Uingereza yaani Serious...
 9. Zee la shamba

  Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, Tuuvunje?

  UAMUZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kugoma kusaini makubaliano ya mwafaka wa kisiasa ili iundwe serikali ya mseto visiwani Zanzibar, umeibua mapya, baada ya Chama cha Wananchi (CUF), kuanzisha rasmi kampeni ya kulirudisha suala hilo kwa wananchi ili waamue kuchukua hatua watayakayoiona...
 10. Zee la shamba

  Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, Tuuvunje?

  HATMA ya mpasuko wa kisiasa visiwani Zanzibar, kati ya Chama cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), imezidi kugubikwa na giza, baada ya vyama hivyo, kuanzisha mchezo wa kutegana katika kulipatia ufumbuzi wa kudumu suala hilo. Mchezo huo, umedhihirika baada ya kila upande kueleza...
 11. Zee la shamba

  Mkapa 'Atoroka' Sherehe za muungano.

  wameanza kuvikimbia mapaka vivuli vya. hali ni ngumu kwao, hakuna marefu yasiyo na..............
 12. Zee la shamba

  Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

  MAJINA ya viongozi waandamizi wa serikali ya awamu ya tatu wanaohusishwa na mikataba mibovu, ambayo yameanza kutajwa waziwazi bungeni yameongezeka baada ya jana, aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba, naye kuingizwa katika orodha hiyo. Mramba alitajwa na Godfrey Zambi (Mbozi...
 13. Zee la shamba

  Hatimaye Wabunge Wafanya Kweli: Mkapa & Karamagi Nje!

  Huu ni mwaka wa shetani kwa mafisadi, watakiona kilichomtoa nyoka pangoni. Hakuna kulala mpaka kieleweke.
 14. Zee la shamba

  Watu wa JK sasa wanawalaumu Waandishi wa Habari.

  Fisadi mtoto Heshima mbele: Kwani baba yake ni waziri? Au miongoni mwa waliotajwa yupo mzazi wako? Mwaka huu mmeshikwa pabaya hakuna kupumua.
 15. Zee la shamba

  Fisadi ni mtu gani?

  Malenga wetu nimewakubali
Top