Recent content by jastertz

  1. jastertz

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Wakati wa tendo yeye anafanya akifika mshindo amwage nje,, wewe na hamu zako unamshikilia kwa nguvu ili asimwage nje, Pole sana dada next time uolewe kwanza
  2. jastertz

    Sioni haja ya kwenda chuo

    elimu ni hazina isiyofutika... biashara hufilisika, elimu ukishaipata umeipata
  3. jastertz

    Prayers, hardworking and discipline

    Kwa haraka haraka hapo ni kama 1,200,000/= kwa mwezi na hapo hakuna makato. anyway keep pushing, obey the road signs you will.
  4. jastertz

    Binti yako kama hana elimu asikanyage Dar es Salaam

    kwa sababu una akili ndio maana unalielewa hilo, ila hamna aliyepotoshwa hapo. mimi nimetoa elimu kwa wanaoingia dar wasiige maisha ya watu, au wazazi wawafatilie watoto wao pindi wanaenda kwa ndugu na kukaa muda mrefu.
  5. jastertz

    Binti yako kama hana elimu asikanyage Dar es Salaam

    😂😂😂Unatokea itigi
  6. jastertz

    Binti yako kama hana elimu asikanyage Dar es Salaam

    Kuna elimu ya asili na ya darasani. Me nazungumzia asili
  7. jastertz

    Binti yako kama hana elimu asikanyage Dar es Salaam

    Ndefu kidogo.... Leo acha niseme kidogo kuhusu dada zetu tuseme Betina aka Tyner. Picha linaanza akifika Dar, ngozi halisi inaanza kuonekana. Kumbe hakuwa mweusi tii bali ni rangi ya chokoleti. Maji ya chumvi, vipodozi, misosi flani, sabuni na mafuta anayoanza kupaka. Kombinesheni yote hii...
Back
Top Bottom