Recent content by ze jj

  1. Z

    Best Action TV Series

    Kama breaking bad haipo Futa Huo uchafu
  2. Z

    Natafuta tiba ya Depression

    Naomba unipm Nna shida na wewe
  3. Z

    Kila inapokaribia mitihani napata stress kali nashindwa hata kulala naishia kupostpone chuo. Naomba msaada

    Habari wana JF, Mimi nina tatizo kila nikiamua nisome chuo basi ikikarbia mitihani napatwa na hali ya anxiety au kichwa kujam. Hii hali imepelekea mimi kupostpone au kuacha chuo mara tatu. Sasa nnaona kabisa Nahtaji elimu ili inikomboe na umaskini. Nifanye nini kupambana na hii hali...
  4. Z

    Hongera Rais Magufuli kwa kulitatua tatizo sugu la mgao wa umeme nchini

    Hata wakati wa kikwete kulikuwa na mgao mkubwa Sana. Maghufuli ndo Alikuja kuondoa mgao
  5. Z

    Hongera Rais Magufuli kwa kulitatua tatizo sugu la mgao wa umeme nchini

    Maghufuli alipoingia alitoa onyo kuhusu mgao wa umeme na ukaisha kabisa. Alipoingia tu mama mgao ukarudi. Kumbe mgao wa umeme ni maksudi. Ni hujuma Kwa wananchi. Kwann watu hawaoji kuwa Kwa maghufuli Mbona mgao haukwepo
  6. Z

    Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

    Habari za Usiku wana JF, Kuna mdada nimempenda Sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina. Mtoto ana miaka 6. Naomba ushauri tafadhali!
  7. Z

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mwanza umeme Upo. Wewe Uko mwanza ipi
  8. Z

    Nina wasiwasi lakini sifahamu sababu

    Nina wasiwasi mkali Sana lakini siioni sababu. Nifanye nini kupunguza hii hali
  9. Z

    Naomba kufahamu tabia za Wanawake wa kikurya.

    Habari wanajf nipo natafta mke naomba kujua sifa za Wanawake wa kikurya
  10. Z

    Tiba ya harufu mbaya kama samaki aliyeoza kwenye uke

    Hiyo ni trichomoniasis Mwambie ameze metronidazole Kwa siku saba
  11. Z

    Waziri Ummy: Toto Afya Kadi haijafutwa ila sasa Watasajiliwa Shuleni kwa gharama ileile ya Tsh 50,400

    Wadau Kwanini ummy kafuta bima ya afya ya toto inayohusu watoto wachanga
Back
Top Bottom