Recent content by Ze burner

  1. Ze burner

    Japokuwa simkubali Ndugai, lakini katika hili ameonewa na kudhalilishwa isivyo sahihi na Rais

    Ndugai hakuomba radhi kwani kosa lake pia hajalijua. 1. Anaposema KAMA kuna mtu nimemkwanza.. maana yake haelewi alipokosea. 2. Hakuishia hapo aliendelea kuisingizia mitandao kuwa ndiyo imesababisha kutafsiriwa tofauti. 3. Aliyakiwa moja kwa moja kukiri kweli nimemkosea rais na wananchi naomba...
  2. Ze burner

    Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

    Hicho ndo kitu pekee nilichotaraji kutoka kwa Mama. Ningeshangaa asingefanya hivyo. Ila hapo kwenye Mabadiliko asiishie kwenye baraza la mawaziri ashuke chini kwenye Makatibu, wakurugenze na wakuu mbalimbali wa Idara na taasisi. Huku chini ndo hawamsaidii kabisa na wanafanya hila za wazi...
  3. Ze burner

    Dodoma: Serikali yasitisha mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa kati unaopita kata ya Nkuhungu

    Middle ring road haukua siyo katika miradi ya kimkakati ulikua ni mradi wa kupendezeqha mji wa dodoma. Mradi wa kimkakati ni Dodoma city outer ring road ambao anaendelea na ujenzi. Tujifunze kutafuta habari kwa kina siyo kutoa povu tu kujifanya tunajua kuliko raisi.
  4. Ze burner

    Malisa na Mikopo ya Elimu ya Juu

    Hapo awali dhamira ilikua njema tu but later turned into parastatal. So watu wanahitaji faida, magawio nk. Ni mtego km mitego mingine akili kumkichwa. Elimu ya tz siyo mtaji huwa hairudishi hela.
  5. Ze burner

    Nilifanya diet nikapitiliza nifanyeje?

    Simple, just cut 80% carbs food, na zaidi kata rice n ugali. eat more protein km vile nyama, mayai mbogamboga. Matunda kwa sana. Ivo vitu kula shibe yako na maji mengi utakuja kunishukuru
  6. Ze burner

    Nilifanya diet nikapitiliza nifanyeje?

    Niliamua ku practice diet kama ilivyo kwetu wengi baada ya kusumbuliwa na kifriza kwa muda hivi. Aiseee! Nashuru sana ndani ya muda mchache nilipata matokeo chanya na hivi sasa nna kama nusu mwaka tena bado niko model. Tatizo kwa sasa nalazimika kubadili nguo zote kwa maana zote zimekuwa kubwa...
  7. Ze burner

    Mamlaka za vyombo vya majini Zanzibar na Bara, msipochukua tahadhari Watanzania watalia hapo mbele

    Nilichokiona watu wote walimdharau kwa maneno yake ya kipuuxi wakabaki wakijadiliana wao kwa wao. Ingekua ni km kumuuliza kichaa
  8. Ze burner

    Mamlaka za vyombo vya majini Zanzibar na Bara, msipochukua tahadhari Watanzania watalia hapo mbele

    Waliaza vzr wakidhani mbio zao ndo kila kitu ila leo ndo nimegundua kumbe hata abiria hawafurahishwi nqzo. Ni kwamba tu walichoka dharau za Azam na watu wake
  9. Ze burner

    Mamlaka za vyombo vya majini Zanzibar na Bara, msipochukua tahadhari Watanzania watalia hapo mbele

    Leo tarehe 20.12.2020 muda huu naandika nikiwa katika chombo cha Zan Fast Ferry (Zanzibar 2) tulitaraji kuondoka majira ya saa 10.15 jioni kwa mujibu wa ticket zetu ila katika hali isiyotarajiwa tumeondoka saa 10.55 jioni baada ya kupigwa na joto kali hatqri huku watoto wakipiga kelele kwa...
  10. Ze burner

    Mwanga wa taa au kibatari huenda wapi vikizimwa?

    Simple ni kwamba unakwenda ulikotoka
  11. Ze burner

    Traffic police officers wa Arusha mnalidhalilisha jeshi, mnaomba mno rushwa

    We unataka tukale wapi, tii sheria ondoa muanya ya rushwa
Back
Top Bottom