Recent content by Zawadi B Lupelo

  1. Zawadi B Lupelo

    Ni sikio la kufa? Mama anaitupa kadi yake muhimu ya kukubalika kwake

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah
  2. Zawadi B Lupelo

    Ni sikio la kufa? Mama anaitupa kadi yake muhimu ya kukubalika kwake

    Kamata kamata na kesi za uchochezi zilikuwa nyingi sana
  3. Zawadi B Lupelo

    Ni sikio la kufa? Mama anaitupa kadi yake muhimu ya kukubalika kwake

    Salamu mbele! Walio wengi huku mtaani wanaona hafai kuvaa si tu viatu bali hata soksi za mwendazake, sifa pekee inayomtofautisha na mtangulizi wake ni hii Sifa ya demokrasia na utawala bora. Hivi karibuni ameonekana anaitupa hata hii karata muhimu inayomtofautisha na mtangulizi wake ambayo...
  4. Zawadi B Lupelo

    Sakata la Bandari: Je koti la Muungano linabana?

    Katika mazingira kama haya ndipo unapoona namna muundo wetu wa Muungano wa serikali mbili ulivyo mbovu na mbaya. Mazingira ambayo tuna Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Zanzibar na waziri wa uchukuzi Prof Mbarawa kutoka Zanzibar pia halafu wanaingia mikataba kuhusu bandari ya...
  5. Zawadi B Lupelo

    Tundu Lissu: Mkataba wa bandari ni suala nyeti sana

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amesema mkataba wa kuwakabidhi bandari baina ya Tanzania na Dubai ni swala nyeti (very seriously) ndiyo maana limepelekwa bungeni. Akiongea club house amesema kitendo cha mkataba huo kupelekwa bungeni kinaashiria unyeti wake na athari ya mkataba...
  6. Zawadi B Lupelo

    Oscar Oscar atua rasmi Wasafi FM

    Katika kipindi kipya cha Jana na leo yupo Oscar, baba levo, edo kumwembe na Adela tilya
  7. Zawadi B Lupelo

    Oscar Oscar atua rasmi Wasafi FM

    Mgahawa kimeondolewa
  8. Zawadi B Lupelo

    Oscar Oscar atua rasmi Wasafi FM

    Aliyekuwa Mtangazaji wa EFM Oscar Oscar AKA mzee wa Kaliua ametambulishwa rasmi Wasafi FM ambapo sasa atakuwa na kipindi chake kitakachokuwa kinaitwa Jana na leo, kikiruka muda uliokuwa wa kipindi cha Mgahawa yaani siku za wiki kuanzia Saa 11 jioni hadi Saa 2 usiku
  9. Zawadi B Lupelo

    Hawavumi: Msanii Marioo ni kwa sababu hayupo WCB?

    Mrejesho, ameshavuma kumbe lilikuwa swala la muda tu
  10. Zawadi B Lupelo

    Feitoto yupo sawa kisheria

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  11. Zawadi B Lupelo

    Feitoto yupo sawa kisheria

    Nimesikia mwanasheria na uongozi wa Yanga wanasema Feitoto hajafuata utaratibu uliopo kwenye kanuni za FIFA za kuvunja mkataba ambapo mchezaji ili avunje mkataba lazima kuwe na just cause (reasonable cause). Kitu ambacho tunatakiwa tujue ni kwamba kanuni za FIFA siyo alfa na Omega bali zinatoa...
  12. Zawadi B Lupelo

    Hawavumi: Msanii Marioo ni kwa sababu hayupo WCB?

    Atakuwa kashapata mganga?
  13. Zawadi B Lupelo

    Kwanini tunafikiri tunastahili haki miliki Royal tour film?

    Ni nini kinafanya watanzania wafikirie kwamba tunastahili haki miliki Royal tour film? Je ni kutoa mshiriki (mama Samia)? Je ni kutoa location (mbuga zetu)? Kwanini hatujiulizi; Ni nani mwenye idea na producer wa hiyo film? Ni nani aliyetoa fungu la fedha la kugharamia hiyo film?
  14. Zawadi B Lupelo

    RIWAYA: PENZI HARAMU

    SEHEMU YA PILI Gari ya polisi iliwashwa kuelekea kituoni. Amani alionekana mtu aliyejawa na hamaki, hisia za kufedheheka zimemjaa . Mawazo yakiwa yamemtanda akamwangalia Hashimu Kwa jicho la hasira na kisirani. "Siamini kama Hashimu ungeweza kunifanyia hivi" aliongea Amani Kwa sauti ya...
Back
Top Bottom