Recent content by Yusuph Salehe

  1. Y

    Jamani watu wa kiswahili nisaidieni,hii mbona ngumu?

    Naomba nijaribu hapo VIYEYUSHO ni KONSONANTI ambazo zinazotamkwa kama IRABU. katika kiswahili kuna aina mbili za VIYEYUSHO navyo ni: "W" na "Y" vipashio hivi viwili katika kutamka huweza kutamkwa kama IRABU. Kipashio "W" hutamka kama IRABU "U" Mfano: "Wanacheza" inatamkwa "Uanacheza"...
  2. Y

    Meno yangu jamani!

    Kwakweli ni muda mrefu tangu meno yangu yaharibike(hayajaoza bali yametengeneza utandu kati ya fizi na meno) na sio siri yananikosesha amani ninapokuwa na watu wangu wa karibu. Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu kama meno haya yanaweza kurudi katika hali yake ya kawaida na kuwa safi kama...
  3. Y

    Je ni kweli kuwa Mayai........??

    Habari zenu wakuu? Naomba msaada au udhibitisho wa kisayansi kama MAYAI yanaweza kutoa chunusi usoni kwa sababu nasikia tu juu juu kuwa MAYAI yanauwezo wa kutibu magonjwa ya ngozi kama chunusi na upele usoni. Je hili ni la kweli? Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  4. Y

    Model maarufu nchini apiga picha za X

    mbona mi silioni hilo jukwaa la wakubwa? Msaada tafadhali
  5. Y

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    The future is dark, only bright brain will survive
  6. Y

    Nenda sambamba na Masharobaro ...Slangs

    Wa kike wanaitwa masherabera yaan hawa ndio balaa utakuta eti wanajifanya hawamaliz kinywaji halaf wakifika makwao wanajutia bora wasingebakisha kund hili wapo wengi hadi wengine hawajui kama wao ni masherabera. Je wewe haupo hapa??
  7. Y

    Mwingira amlaani mchungaji Loliondo!

    Kuanzia mwingira, kakobe hadi babu ambilikile mwasapile wote ni wa2mishi wa shetani ,,,!!
  8. Y

    Bainisha na ainisha

    Mmh! Kidogo nimeelewa ila sana nimechanganyikiwa
  9. Y

    Bainisha na ainisha

    Habari zenu wakuu? Leo nimekuja na hili ninashida ya kutofautisha maneno haya BAINISHA na AINISHA. Mfano: Bainisha na ainisha maneno yafuatayo 1. Anakikimbia 2.Anakula Naombeni msaada wenu jamani.
  10. Y

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    serikali ina siri kali kwa sababu neno lenyewe "serikali" linatokana na neno "sirikali" hivyo ni lazima kuwe na siri kwenye serikali.
  11. Y

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    serikali ina siri kali kwa sababu neno lenyewe "serikali" linatokana na neno "sirikali" hivyo ni lazima kuwe na siri kwenye serikali.
  12. Y

    Chemsha bongo

    Habari zenu wanaJF Leo nimekuja na swali tujadiliane NI KITU GANI AMBACHO KILA MWANADAMU ANAKIOGOPA KATIKA MAISHA YAKE YA KILA SIKU HAPA DUNIANI? Kwa sababu nimeambiwa kunakitu ambacho kila mwanadamu anakiogopa. Tujadiliane
  13. Y

    Naombeni msaada jamani

    Habari zenu wakuu naomba kwa yeyote anayejua anisaidie hatua za kufuata kabla ya kutuma maombi unapotaka kuendesha kazi mradi (project) ni kwa kiwango cha A-level
  14. Y

    Haya maneno yananichanganya

    Ni SUFURI sio SIFURI
  15. Y

    wanafunzi lini tutaacha tabia ya "zimamoto"

    Mmmhh Sijui!!! hata mie nahisi umenigusa ila kwa mimi nahisi ninamambo mengi ninayotingwa nayo sijui kwa wanaokaa bure
Back
Top Bottom