Recent content by Doctor Stranger

  1. Doctor Stranger

    Michano/Hiphop/Freestyle

    Kichwa kipo deep Kama pango/ My Life is fun liKe rango, but still nna mipango/ Naamini sir God atanifungulia milango/ Japo masnitch wanawish nishuke viwango/ Nile makombo, nikose pesa ya pango/ Ila bado sikai kinyonge mchizi na struggle, Nazidi saka tonge ado ado/
  2. Doctor Stranger

    Michano/Hiphop/Freestyle

    Hiki kichwa, kina mistari isiyohesabika/ Mziki ungekuwa vita, ningewaficha Kama Hitler/ Mpaka huku Mbabe nimefika/ So wabana pua, mbane mpak mbup kabisa/ longtime kwenye hizi Mambo/ Michano bila Tambo, na bado namwaga damu Kama Rambo/
  3. Doctor Stranger

    Michano/Hiphop/Freestyle

    Hahaa nakubali hujawahi kosea kuchora mistari mkuu.
  4. Doctor Stranger

    Kwanini mtu mwenye pesa anakuwa na dharau??

    Kuna washkaji wawili tulikuwa tunachimba nao mwaka jana....sasa juzi juzi hapo wamepiga milion 33 hivi navyoandika ni kwamba wamepotelea kusikojulikana
  5. Doctor Stranger

    Tupac alikosea, Biggie nae alikosea ila Diddy na Suge ndio mashetani

    Napenda kile kipande anachana bg skyes So much trouble in the word nigga, Can nobod feel your pain The words changing everyday times movin fast'
  6. Doctor Stranger

    Hawa ndio maveterani wanaocheza NBCpremier league 2022/23

    Mbona umepanic au ped uliyovaa imekukaa upande..!
  7. Doctor Stranger

    Mechi ya jana imetupa ujasiri wana Simba

    Raja kafungwa goli 1 katika mechi zote, ila yeye kawabamiza goli 17 vibonde.
  8. Doctor Stranger

    Mechi ya jana imetupa ujasiri wana Simba

    Raja hawacheki na vibonde
  9. Doctor Stranger

    Tupac alikosea, Biggie nae alikosea ila Diddy na Suge ndio mashetani

    True upande wa flow kali big hana mpinzani. Nazikubali sana hizi ngoma zake B.I.G Poppa Suicidal thoughts warning juicy halafu kuna ngoma inaitwa longkiss goodnight dah hii ngoma ametema shit sana.
  10. Doctor Stranger

    Tupac alikosea, Biggie nae alikosea ila Diddy na Suge ndio mashetani

    Hizi ngoma huzijui mkuu. Gheto gospel Ambition az ridah Dear mama Only god can judge me Changes Halafu mbona kama big ndio alikuwa anaimba nyimbo za disko sana
  11. Doctor Stranger

    Tupac alikosea, Biggie nae alikosea ila Diddy na Suge ndio mashetani

    2pac hakuwahi kuwa mshenzi kama kina didy, na hakuwahi kuwaza kuwafanyia kisasi kina didy, aliamini karma itawalipa hata kwenye nyimbo ya ambition az a ridah ameongea kwa uchungu mno.
Back
Top Bottom