Recent content by Yoel eliud

  1. Yoel eliud

    Kwanini wimbo wa Killy na Harmonize 'ni wewe' hautambi?

    Hiyo ngoma mbn inagongwa maeneo mengi, au ni kwetu tuu
  2. Yoel eliud

    Mazishi ya Rais wa Falme za Kiarabu

    Hawa ndo wako fresh sasa, yani kiongozi wamemzika kama msela tu hawakutaka hata wali☺️
  3. Yoel eliud

    Muwe mnaacha dharau mabinti

    Tayari😂😂😂
  4. Yoel eliud

    Putin Maji Shingoni, Alia na Mataifa ya Magharibi

    C ana mshkaji wake yule naniliu anae penda mazali kama hayo, au hataki kumshilikisha
  5. Yoel eliud

    Eti wadau, ule msalaba kwenye chupa Dompo huwa una maana gani??

    Eti wadau, ivi ule msalaba kwenye chupa ya dompo huwa una maana gani??
  6. Yoel eliud

    Simu leo ni wiki 4G haipandi wala 3G inayo panda sasa ni 2G pekee

    Wazee I.T naombeni msaada wenu, Simu yangu ina support 4G lite na nimeitumia kwa mda mrefu na huu ni mwezi wa tatu natumia 4G, ila sasa leo ni wiki 4G haipandi wala 3G inayo panda sasa ni 2G pekee nimejaribu kuset ninavo weza imegoma hadi nime restore lakini wapi nimejaribu hata ku frash bado...
  7. Yoel eliud

    Airtel Tanzania huduma kwa wateja imekuwa tatizo

    Bora umenisaidia maana me nilikuwa nimemua kumuacha tu
  8. Yoel eliud

    Airtel Tanzania huduma kwa wateja imekuwa tatizo

    Yani umenifumbua macho bana kumbe iliingia me bila kujua baada ya kusema ww ndo nimeangalia nikaikuta, aisee ni shida
  9. Yoel eliud

    Airtel Tanzania huduma kwa wateja imekuwa tatizo

    Hata mimi ndo nasubili sa iishe niendelee
  10. Yoel eliud

    Airtel Tanzania huduma kwa wateja imekuwa tatizo

    Yani me hadi wamenizuia kuingiza vocha kisa nimejaribu mara nyingi
  11. Yoel eliud

    Airtel Tanzania huduma kwa wateja imekuwa tatizo

    Jamani mtandao wa Airtel umekuwa tatizo kwa watumiaje hasa kwenye suala la huduma, Yaani sijui wanakwama wapi mtumiaji unakuta ninatizo na nahitaji msadaa wa customer care napiga 100 kama kawaida lakini unaskiliza tu maelezo ya computer na kuku bonyezesha mi namba baada ya hapo wanakata simu...
Back
Top Bottom