Recent content by YAGAWAYA

  1. YAGAWAYA

    Kwa majibu haya huyu mtu ni positive au negative

    Mkuu naona hamjaelewana, kumbe wewe umetumia kipimo cha mate, jamaa kaonesha kipimo cha kutumia damu na mara nyingi hicho cha damu huwa kinakuwa na hiyo hali ya kuchora mstari baada ya kukaa muda mrefu, ndo maana kinaelekezwa usisome majibu baada ya dakika 20.
  2. YAGAWAYA

    Hata mkague mabegi hamtakuta tena ARV’s, kuna sindano siku hizi

    sio typing error mkuu Ulikuwa Sawa kabisa, kuna Pre exposure prophylaxis (PREP) Hii inatumika kupunguza chance ya maambukizi kwa makundi yaliyo kwenye risk ya kupata maambukiz Mfano sex workers, wanaojidunga kwa kushare sindano n.k inatumika kabla ya tukio, na hiyo Post exposure Prophylaxis...
  3. YAGAWAYA

    Rais ajiuzulu, huduma ya kununua LUKU imekwama tena leo Juni 20, 2021

    Mkuu mbona huku kwetu tunanunua tu hakuna shida ya mtandao?
  4. YAGAWAYA

    Hivi "COVID-19", ni neno la kingereza au ni lugha ya kitaalamu?

    La kitaalamu likifupisha "Coronavirus Disease 2019" Sent using Jamii Forums mobile app
  5. YAGAWAYA

    Naomba kujua mshahara wa daktari kwa ngazi ya Diploma

    hata mwajiri wao tu hana jina la moja kwa moja la kuwaita, ila kaz wanazozifanya ni za kidaktari kutegemeana na kiwango cha elimu yao. Hapa kwa daktari ni changamoto sjui kwanin walitengwa ila kwa manesi, nesi ni nesi tofauti ipo kwa kiwango cha elimu, kama kwa walimu pia wa dip na degree wote...
  6. YAGAWAYA

    Kuhusu Corona: WHO wanasema mask haisaidii kujikinga kwa wasio na maambukizi

    Mkuu mask inazuia majimaji ya mdomon au puan wakat wa kukohoa au kupga chafya, na kuongea ambayo yanaweza kuwa na virus, yasimfikie mtu mwingine na kumuambukiza. Virus ni mdogo kias kwamba hata macho yetu hayawez kumuona ndo maana had utumie darubin ndo unamuona, udogo wake huwez linganisha na...
  7. YAGAWAYA

    Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

    Yan bado tu unaongelea beki kama Pepe mkuu
  8. YAGAWAYA

    TCRA kwanini Efm Radio isiitwe tu Yanga FM?

    Haya mambo ya simba kujiita timu bora wakati miaka 5 hawajashinda nafasi ya kwanza ndo yametufikisha leo hapa asenal, tunajisifia kucheza pasi pasi nyingi wakati wenzetu pas mbili goli wanabeba ubingwa
  9. YAGAWAYA

    Ushauri: Kila mwanamke ambaye nasex naye baada ya muda ana ujauzito

    Baada ya wiki tu kaanza na kutapika duh! Wataalam wanasema kutapika mara nyingi huanza wiki 4 had wik 6 au huyo alikuwa nayo t
Back
Top Bottom