Recent content by Xavery

  1. X

    Presidents Jakaya Kikwete (Tanzania) and Paul Kagame (Rwanda) have not confirmed TO ATTEND KAMPALA

    Mpendwa Rais wetu Kikwete, pls usiende huko, hawa ndugu hawashauriki, waache na unafiki wao sisi tujenge nchi yetu. If possible tuwaachie hiyo EAC yao na tuweke nguvu zetu SADC ambako soko ni kubwa zaidi kuliko huko kwao. By the way we have little to lose compared to them. MUNGU ibariki Tanzania...
  2. X

    Why Current, Savings or Fixed Deposit with International Commercial Bank. (ICB)-Karibuni

    What is new here? All is the same with other banks. You need to be more creative and come up with new products/feature. We are tired with copy and paste products. Sorry for that.
  3. X

    Utabiri: Rais ajaye Tanzania (2015) ni Mwanamke

    Hatufanyi maamuzi kwa kutegemea ndoto za mtu. Je wakitokea hao watabiri wenu wengine wakawaambia tofauti mtasemaje?
  4. X

    Lori na trector limefunga barabara kibamba CCm

    Mdau ebu funguka, imekuwaje?
  5. X

    Hivi kwanini WAARABU wanapenda tigo

    Duu! Hiyo bikira inayotunzwa ni ya k tu na ya m haiangaliwi?
  6. X

    Serikali yamuanika Idd Simba kortini

    Kamanda tembelea www.mof.go.tz angalia assets za serikali utaona si tu Pride kamanda. Tatizo ni kama mwenye mali anajua kama anazo hizo mali. Tembelea tu hiyo web site kamanda.
  7. X

    Serikali yamuanika Idd Simba kortini

    Pride Tanzania kama ilivyo FINCA ni mali ya serikali kwa 100%. Kwa uhakika kamili angalia government assets kwenye web site ya Ministry of Finance.
  8. X

    Kibonde wa Clouds anaharibu

    kwani kwetu sisi watanzania kuiita jamii fulani ni wapuuzi kwa kipimo cha ufahamu wako sio matusi?
  9. X

    Asilimia 85 ya wanaume wa kitanzania waishio ulaya wameolewa

    Yes, the great thinkers always relies on data.
  10. X

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    Pita maeneo ya bar za Mwananyamala, wapo ma-handsome kibao wanaotafuta mijimama kama wewe, lakini jiandae kwa kumpa mbele na nyuma, maana ndio taratibu zao.
  11. X

    When a Door is closed ...

    When the closed door sickens you, know that there is the untried way. “When one door of happiness closes, another opens; but often we look so long at the closed door that we do not see the one which has been opened for us,” said Helen Keller-the American Author and Educator who was blind and...
  12. X

    Sacking made me a millionaire

    Excellent post. Only by self employment one will become rich.
  13. X

    Mbunge Komba ashtakiwe

    Moony, inaonekana wewe ni mtu mwenye chuki tu na watu waliofanikiwa. Huwezi kuleta jamvini habari ambazo hazina ushaidi hata kidogo, eti "inasemekana". Hapa ni mahali pa great thinkers sio pa majungu. Pls give facts and not your emotions.
  14. X

    Nundu kutangaza kujiuzuru kwake?

    Tunasubiri kwa hamu kusikia hicho anachotaka kusema, but everyone can predict:target:
  15. X

    Waliojiondoa CUF waanzisha chama kipya ADC

    Nawashauri waliojitoa CUF kuhamia CHADEMA ili kuongeza nguvu kwa upande wa visiwani kwani sasa watu wameshachoka na uwingi wa vyama.
Back
Top Bottom