Ndg wana jf-bei ya gesi kg 6 dar ni elfu 19000,ruaha-kilombero ni 25000.Cha ajabu ifakara ndani ya muda mfupi sana bei iliruka kutnka 30000 ikaenda hadi 35000 kufumba na kufumbua 40000.jamani hii imepitiliza yaani mtungi wa kilo 6 elfu 40000.je oryx wanalitambua hili wana jf naombeni mawasiliano...
<br />
<br />
Ndugu yangu nakushauri kaa mjini piga kazi.meatu kumechoka vibaya sana-mi nilipangiwa kazi ya serikali nikaenda nikakaa mwezi.nikakimbia sababu serikali initupa tu si unajua mwl.lakini pili kumechoka sana vumbi tupu,maji shida,kamji kadogo sana kama kijiji,taasisi zozote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.