Recent content by Wordsworth

 1. Wordsworth

  Mbona katuni zetu hazina mvuto kabisa na ziko tofauti yaani hazichezi(hucheza kwa kuvunjikavunjika) tuna feli wapi

  Lazma ujue kwamba animation zinatofautiana. Kama ufahamu hiki kitu unaweza kuhisi kuna wengine wanakosea. Unaweza ukawa na preference binafsi lakini kama kitu hukipendi haimanishi wamekosea.
 2. Wordsworth

  Clouds TV mnakwama wapi?

  Hata sijui.
 3. Wordsworth

  Clouds TV mnakwama wapi?

  Unajua quality nzuri kweli? Yaani kwenye picha clouds haina tofauti na Tbc1 tena muda mwingine bora hata Tbc.
 4. Wordsworth

  Clouds TV mnakwama wapi?

  😂😂 talent ya wapi? Wanafikiri tv ni redio wakibwabwaja siku nzima tayari? Ohoo luninga inahitaji umakini wa hali ya juu. Sio vitangazaji vyao vya tv uchwara ambao wanajiona wapo juu kumbe hamna kitu. Kuna mmoja kwenye kipindi gani sijui alikuwa anaongea maneno mengi yasiyo na kichwa wala miguu...
 5. Wordsworth

  Clouds TV mnakwama wapi?

  Star tv hapana kwa kweli. Yaani picha zao utafikiri ninaangalia kwenye CRT tv wakati natumia Samsung full hd. Wajirekebishe.
 6. Wordsworth

  Clouds TV mnakwama wapi?

  Kusema kweli Clouds Tv imewashinda. Hawapo systematic au professional. Vipindi vingi havina flow nzuri vipo all over the place. Hapa madirector na maproducer wameshindwa kazi. Kingine watangazaji wao wengi ni wa hovyo hawana upeo wa kuongoza kipindi vizuri kiwe na mvuto (Salama Jabir yupo...
 7. Wordsworth

  Clouds TV mnakwama wapi?

  Hawa Star Tv picha zao ni low quality sana.
 8. Wordsworth

  Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif Hamad unataka kutugawa Watanzania kwa faida ya nani?

  Maalim Seif ndio alivyo. Ni mchochezi na mnafiki tangu enzi zake CCM. Bila huu muungano angeweza kuzunguka bara kwa uhuru hadi watoto wake wakasoma huku?
 9. Wordsworth

  Nahitaji computer ya video editing

  Duu kwa hiyo buget utaedit video kweli?
 10. Wordsworth

  Ulishawai date na pisi kali lakini ina kasoro?

  Lol mwenzako anaona yupo na Alicia Keys
 11. Wordsworth

  Mafundi nguo acheni ujinga huu...

  Jifunze mbona rahisi sana. Sasa kama fundi ambaye hana akili nzuri anashona ndo itakuwa wewe?
 12. Wordsworth

  Mafundi nguo acheni ujinga huu...

  Nunua tu mashine ya kushonea hata vile vidogo vya umeme. Mi nshaachana nao siku nyingi sana hadi nguo najishonea mwenyewe. Mambo ya kujibishana na watu wazima mwisho wa siku waseme nina wadharau nimeshindwa ✌
 13. Wordsworth

  Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

  Tena umenikumbusha kuna wigi nataka nikachukue. I can't wait 🤗🤗
 14. Wordsworth

  Msaada: Nifanyeje ili kumrudisha mpenzi aliyeniacha au avutiwe tena na mimi siku akiniona?

  Naona umeamua ku mpump mwenzio. 😂😂😂 😂😂 eti wewe ni wa thamani
Top Bottom