Recent content by Dr Dre

  1. Dr Dre

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    turudi tu kushabikia masandawa 😂😂
  2. Dr Dre

    2010 BMW 320i vs Mercedes Benz C Class

    BMW 3 series naona inauzwa sana kwenye magari used ya bongo .sijui ni kwamba zinashida au wamiliki wameshindwa kuzihudumia
  3. Dr Dre

    Kama nimejenga nyumba kwenye kiwanja si changu, kunivunjia nyumba au kuniambia ninunue hicho kiwanja kipi bora?

    wanavamia au wanauziwa mara mbili na madalali na watumishi wa serikali za mitaa wasiokua waaminifu
  4. Dr Dre

    Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye anataka kuniagiza kitu

    good idea kijana . natumaini ukiumiza kichwa zaidi utakuja na plan bora zaidi ya kujikwamua na huu umasikini . Goodluck
  5. Dr Dre

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    wakuu kwa wenye Smart Tv inawezekana kustream ? Maana naonaga kuna apps zimeandikwa IPTV kuzitumia ndio sifahamu
  6. Dr Dre

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Wakuu hawa Speedaf kwa AliExpress wanafanya vizuri sana kwenye swala nzima la Delivery. Naomba kuuliza vipi kwa upande wa mnaogazia vitu kutoka Ebay Je nako wapo hawa Speedaf ?
  7. Dr Dre

    Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

    watu wametiririka mkuu 👊 maziwa ni mengi sana katika huu uzi.
  8. Dr Dre

    Kipi bora kuoa msichana aliezaa mtoto 1, au aliewahi kutoa mimba?

    yupo mmoja hapa juzi katika kumchunguza kanambia ashawahi kutoa [emoji23]
  9. Dr Dre

    Yupo wapi mwimbaji wa nyimbo za Injili Beatrice Muhone?

    naona sasa amerudi na ameshatoa hadi na video
Back
Top Bottom