Nimefanya vyote mwezi wa 8 mwaka 2023 .. na Mimi Nina tabia haipiti siku bila kutembelea account ya taesa .. mwenzi wa 8 wote Kila siku naingia kwenye account.
Pia nilivyomaliza interview niliulizwa una swali lolote la katuuliza nikauliza kinachofuata baada ya hapa ni kipi akasema nisubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.