Recent content by william syprian

  1. W

    Nimekua mpweke kwa miaka mitatu sasa naombeni mnishauri

    Dada unajua kuwa na msongo wa mawazo ni kawaida kwa binadamu maana anataka kupata anachokihitaji ndo furaha iwepo. Bola uanze fikiria vitu vingine Kama mbadara wa yale ya zamani. Tofauti na hapo ni kuwa na matatizo mfano; vidonda tumbo; kupolomoka kimaisha na jitihada zake
Back
Top Bottom