Recent content by werema01

 1. W

  Waziri Selina Kombani (Katiba na Sheria) na Hatima ya Katiba Mpya

  Kauli ya waziri = kauli ya serikali waziri kombani anasema kuboresha muswada kuhusu uundwaji wa tume ruksa, kufifisha hapana. Je, ndo kusema maoni ya kuupinga muswada sio maoni na serikali haitaki kuyasikia? So kwanini wanakusanya maoni ya watanzania kama hawataki kukosolewa? So watanzania...
 2. W

  Elections 2010 Graduate, Mtoto wa Fukara, Shabiki wa CCM

  Naomba tuchunguze wanaoenda UDOM wana IQ kiasi gani, then tujadili ubora wa elimu zinazotolewa(hapa tutagundua wasomi wetu wanataalumika badala ya kuelimika). Pia nina shida na vyuo vyetu, they are too passive struggling to earn a degree through cheating or otherwise. Hapa tunahtaj elimu ya...
 3. W

  Chadema (Mbowe): We recognise the president

  Naamini unapocomment hapa hutakiwi kudhani bali uwe na uhakika. Tambua kiini cha tatizo, ukitambua utapata jibu kwanini na ni nini CDM inahitaji katika ile walkout. Naamini hata Mr. President anaelew
 4. W

  Kumbe Tamko La "Wasomi" Ni Fake

  nimesoma enzi ambazo punch alishafariki. Kwa stor nlizowah kuckia kuhusu punch, angerud angesaidia kunyoosha wasomi bubu
 5. W

  Maisha ya shule bwana!!!!!!

  Dah, long time sana enzi za kula mboko umeshika masikio
 6. W

  Gundua tofauti katika picha hii

  nahisi hawajakaa ki-itifaki.......... Kochi alokaa sharif alitakiwa akae jk
 7. W

  Kiongozi wa Kambi ya Upinzani safari hii....mmmh

  nimegundua wewe ndugu kishongo ni mtu wa kuogopwa sana... Posting zako ni negativity always, try to live in the reality side of life even if u do get your daily bread from the exisisting system in power. Tetea ukweli daima, kufa kwa kusema ukweli; mungu atakubariki kwa hilo
 8. W

  Kutoka kwa wadau wa facebook... kwa nini CUF hawakutoka bungeni kama CHADEMA? pembuzi

  emma, zamani unamaanisha mwaka gani? Ila ufahamu kila jambo lina wakati muafaka wa kufanya....... Huu ndo wakati wa jambo hilo. Kama una ushauri mbadala toa
 9. W

  Nimeshindwa, Nahama Chadema

  kama senior members ndo wanaandika upupu kama wako, basi sipendi niwe senior member kama wewe. Ni vigumu sisi kufahamu hiyo dhamira yako unayosungumzia. Hoja yako ni udini na ukabila ndani ya chadema, hilo si kweli. Jaribu kila jambo unalofanya kulireason ndugu yangu, usiandike tena upupu...
 10. W

  Re: Hotuba ya mr. President

  Mr president anaonesha wao kama chama cha ccm wana nia ya wazi ya kuwapa wanawake nafasi muhimu za uongozi nchini kama sehemu ya kuwawezesha.... Na hili anasema ndo maana wakamteua mama makinda agombee uspika. Najiuliza maswali 1. Kwanini asingeacha kutetea nafasi yake nawamteue mwanamke na...
 11. W

  Ningekuwa mimi ni Makamba..

  Ndugu kumbuka nia ya chama cha siasa si kuendesha miradi, la sivyo kwa wazo lako ingeitwa ccm investment. Hii ngeleta maana zaizdi kama chama cha wafanyabiashara na iachie kuongoza taifa kwa chama mbadala.... Matatizo ya chama yanajulikana, wayatatue ili waongoze dola katika misingi inayotakiwa
 12. W

  Wabunge chadema mmetokota

  Haya bwana, uwezo wako wa kufikiri unakuonesha wanatafuta umaarufu.......... Kama njia waliotumia haifai shauri njia mbadala. Nakukumbusha bwana makamba alisema hivi ni vyama vya msimu, nadhani sasa anatafakari..... Nawewe muda wako wa kutafakari utafika
 13. W

  Maina Owino wa CCM UK awashukia wabunge wa CHADEMA juu ya kumsusia JK

  naomba biography ya maina kwa anayemfahamu tafadhali......... Nimesoma huo ulanguzi wa vyumba udsm, tupe biography yake huyo
 14. W

  Maina Owino wa CCM UK awashukia wabunge wa CHADEMA juu ya kumsusia JK

  ndugu, wewe utakuwa uchi wa mbuzi sasa..... Kumbuka hata wakoloni waliwatumia machifu kuwanyanyasa watu wao, naamini hata cuf wameshirikishwa kama machifu enzi zile. Tunachotaka ni ukombozi wa kweli kwa mtanzania
 15. W

  Maina Owino wa CCM UK awashukia wabunge wa CHADEMA juu ya kumsusia JK

  naomba biography ya maina kwa anayemfahamu tafadhali......... Nimesoma huo ulanguzi wa vyumba udsm, tupe biography yake huyo
Top Bottom