Mimi sina uzoefu sana na madawa ila Tuna system kwa ajili ya pharmacy. Katika kuwasaidia wateja kuingiza stock na kuseti system naona. Ukiwa na eneo zuri biashara inalipa sana maana huwa naangalia bei ya jumla na jinsi tunavyo Uziwa reja reja tofauti Ni kubwa. Pia mwenye duka mmoja alishaniambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.