Recent content by Wamkopeka

  1. W

    Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

    Kabla ya kuwahukumu hao wananchi ni vema ungejiuliza kwanza chanzo cha hizo vurugu ni nini. Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
  2. W

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kushinda Uchaguzi wa 2020, Dkt. Magufuli ana nafasi kubwa ya kushinda

    You have the right to comment even if your opinion is stupid but it is your right.
  3. W

    Nawaasa wanaotaka kuandamana

    Watanzania sio wajinga kama unavyofikiria.
  4. W

    Uchaguzi 2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

    Kukosa kwako elimu ya uraia ndo kunakufanya uwe na akili mgando kiasi hicho. Hujui kazi ya mbunge ni nini na pia hujajihangaisha kufanya utafiti mdogo tu wa kujua majimbo yanayoongozwa na ccm yana maendeleo kiasi gani mpaka uone kama Sugu ndio amemwamish maendeleo ya Mbeya.
  5. W

    Uchaguzi 2020 CCM tumezidiwa sana na tunaweza tusimalize vizuri. Huyu mtu kasi yake ya ajabu

    Halafu asivyojielewa anasema eti watu wanaenda kushangaa helcopter tu. Anasahau mwanzoni walisema watu wanaenda kumshangaa Lissu maana ni msukule. Lakini ukimwambia kwenye mikutano yao watu wanafuata fiesta hapo hakuelewi wakati picha imeonekana tamasha likiisha watu wanasepa.
  6. W

    Uchaguzi 2020 Askofu Bagonza: Makundi yetu kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Baba Askofu Benson Kalikawe Bagonza. Asante sana kwa falsafa zako zilijaa busara na hekima ya hali ya juu sana. Masikitiko yangu ni kwamba tuna bahati mbaya kama nchi, wenye uwezo wa kuelewa falsafa zako ni wachache sana. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba wasiolewa falsafa hizi miongoni mwao...
  7. W

    Kamwe siwezi kulidharau dafu huku nikijua embe ni tunda la msimu

    Umeanza hoja yako kama mtu unaejielewa lakini umekuja kuprove kuwa wewe ni bwege tu
  8. W

    Kilimanjaro: Diwani wa CCM Juma Raibu avamiwa na Kuvunjiwa vioo vya magari

    Ukisikia sinema ya kutengeneza ndio hii sasa. Yaani wavamizi wanavaa sare za chama kabisa halafu wanafanya tukio la ivamizi. Je ilikuwa ni kwenye viwanja vya kampeni? Tuache siasa za maji taka jamani.
  9. W

    Uchaguzi 2020 Kauli za Mgombea CCM Dkt. Magufuli kuhusu umwagaji wa damu zina maana gani?

    Wapotoshaji kama ninyi mna sehemu yenu jehanamu. Sijui unaeneza huo upotoshaji kwa manufaa ya nani?
  10. W

    Uchaguzi 2020 Wazee wameusoma mchezo na wamechagua kuwa upande wa haki?

    FULLCUP Unawaita wenzior keyboard warriors wakati mwenyewe unaongea hayo ukiwa nyuma ya keyboard. Sasa wewe na hao kuna tofauti gani?
  11. W

    CCM ikishinda uchaguzi Serikali yake ifafanue kipengele kwa kipengele suala la Tundu Lissu kupigwa risasi

    Usitegemee majibu kabisa, tegemea kupata majibu ya aina hiyo kutoka kwa watu wa aina hiyo ya akina Mkinga, Musiba, Mollel nk. Hebu jiulize ni kwanini serikali imekataa katakata kuleta kampuni huru za upelelezi ili kuondoa mzizi wa fitina?
  12. W

    Nani kawaroga watanzania kwamba Demokrasia ni uadui?

    Ninachokiona tatizo kubwa ni CCM ambao wao wanaamini Tanzania ni mali yao na wengine wanachukuliwa kama raia wa nchi jirani. Ukiangali CCM namna wanavyowatreat wapinzani wanawachukulia kama maadui zao. Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
  13. W

    Uchaguzi 2020 Shilatu: Lissu ana maswali ya kutujibu kwanza Watanzania

    Badilisheni ngonjera, hizi zimeshachuja na haziwezi kuwaokoa tena.
  14. W

    Uchaguzi 2020 Yanayojiri Mapokezi ya Tundu Lissu jimboni Mkalama na Singida Mjini

    Johnthebaptist. Ungejipa muda wa kumsikiliza bila shaka ungepata jibu la swali lako. Ameeleza kinagaubaga kwamba suala lajira haliwezi kutatuliwa na serikali peke yake. Hivyo atahakikisha atatengeneza mazingira rafiki kwa sekta binafsi ili kwa kushirikiana na serikali waweze kutatua tatizo la...
Back
Top Bottom