Recent content by Wakwao

  1. W

    JamiiForums Tanzania Nauza Karatasi Bei Poaa

    Hilo A4 ni Aina gain?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Refregeration Containers

    Habari wandugu, Eti wapi naweza pata refregeration container hapa Tanzania? Kwa ajili ya kufreez samaki au kutengeneza ice. Kwa mwenye information nijuze tafadhali.
  3. W

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Jinsi ya kuweza kuhifadhi pesa kutoka katika mshahara

    Save the amount you want and spend what remains, but don't wait to spend first and save what remains, maana huwa hazibaki kaka!
  4. W

    JamiiForums Tanzania Wahaya; Kwa huu utamaduni wenu, mnatuchanganya wageni tunaokuja kwenu!

    Tembea na maeneo mengine ndugu,............ utaona mwenyewe
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ku flush vodaphone moderm

    Model ni K3565-Z
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ku flush vodaphone moderm

    Wakuu salama? kwa anaejua namna ya kuflush vodafone moderm hii IMEI: 3565117032175237, S/N: 320892712528. Naomba anisaidie. Voda maeneo yangu inasumbua sana hai connect kabisa.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

    Hapo umenigusa mkuu, Hebu nipe utaratibu wa kuanzisha Bureau de change kama unaufahamu.
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshanganyikiwa Sijui ntafanyaje naombeni wenu wanaJamiiForums

    Inaonyesha wazi wewe UKIMWI huuogopi, lakini kwa kuwa unaogopa mimba kiasi hicho basi zingatia kutumia kinga. Ndo maana inaitwa kinga,! kinga unachokiogopa.
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Caller tunes -- najitoaje?

    Thanks mkuu,
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Caller tunes -- najitoaje?

    Wana JF msaada jamani, Voda na Airtel wananiibia nimechoka. kazi yao kuniambia wamekata 400 mara 210 eti gharama ya caller tunes. Naomba msaada namna ya kujitoa kwa anayejua
  11. W

    JamiiForums Tanzania Askofu Mokiwa ashitakiwa kwa kumshika makalio Mtikila

    Hivi kumbe hata mabishop wanatembea na pisto? nilifikiri ulinzi wa bwana wanaemtumikia na kutufundisha unatosha!
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari! Tahadhari!

    Haya mashabiki wa Manchester yenu hayo. Bila shaka cha Van P. kitakuwa bado hakijatobolewa si ni kipya sanaa! kazi kwenu
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanamke wenye matiti makubwa wana mvuto katika mapenzi?

    Mmmh! Nahisi kuna mahali umeona unataka ku-Test weye! Nenda kajionee mkuu, practical ina majibu yoteeeeeee
  14. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia simu ambayo ina usb ku access internet kwenye kumputa

    kama unatumia samsung GT-C3222 je?
Back
Top Bottom