Recent content by Wakuchakachua

  1. W

    Mwana JF mwenzangu uko wapi muda huu?

    nipo home so bored so lonely nahis ni JF tu itakayonipa furaha ya kweli maana nahisi upweke unanisumbua jamani lol hongereni nyie wenye furaha mioyoni mwenu maana mie mmh ...
  2. W

    Mapenzi ni huruma!

    mung atupe moyo wa kutoa maana hali ni ngumu kweli
  3. W

    Nimemkuta yu mjamzito!

    yani masuke umenikumbusha jambo: ni story ya kweli ilitokea kijijini kwetu moshi, kulikuwa na babu mmoja ambaye alikuwa na mtoto wake wa kiume. huyo mtoto alioa mke wake sasa siku moja akamshika mkwewe live na mtu mwingine wakivunja amri ya sita , kijana akaja juu na kwenda kwa wazazi kutaarifu...
  4. W

    Nimemkuta yu mjamzito!

    YAni NYANI unavyoandika hizi message zazko kwa hisia hata sielewi hiyo siku ,mungu epushia mambo yawe salama kwako maana lol...una hasira
  5. W

    Nimefulia

    jieleze basi..umefulia nini ili tukusaidie
  6. W

    Having a Bad Day!?

    duh hatari hiyo mungu saidia tu hapo mpka roho inaruka nahis puuu kaanguka chini analiwa....
  7. W

    Nimemkuta yu mjamzito!

    hakuna mkamilifu
  8. W

    What do i do to remove her from my feelings??

    pole sana GANGO na JATELO najua kwa akili zetu kamawe hatuwezi kabisa kuwaondoa tuliowapenda kwa mioyo yetu kwa dhati ila mungu anahusika kutusaidia na kutupa faraja na kutuwezesha , NAWASHAURI MJUE KUWA MUNGU NI MWEMA SANA KWETU HIVYO KILA JAMBO LINATOKEA KWA SABABU, Tena muwe mnamshukuru mungu...
  9. W

    Hivi fikra zangu zikinituma kuwa alikuwa ni kahaba zitakuwa kimakosa?

    buji umenichekeshsa sana jamani kwani lazima sumsung ndo ablock ahahhah idd njema
  10. W

    Leo nimetimiza miak 3 ya ndoa

    aisee kwa hali ya sasa hongereni sana kwa moyo mkunjufu napenda kusema mungu awe nanyi na baraka tele awajazie
  11. W

    Asanteni kwa mawazo yenu

    paka huyu dada anahitaji ushauri najua no one can write ubaya wake ila ni vyema tukamweleza maneno ya kumfariji ni vip umuhukumu. huyo mwanaume ndio anatabia ya kishenzi na ndio maana mwanamke amelalama humu jf.
  12. W

    hivi ni kwanini

    kwa USONI ni kama wanasamehe ila wanavisasi vikali mno.... mume mmoja alimuuliza mkewe mimi nikikasirika nina kupiga na wewe je akasema huwa naoshea mswaki wako chooni......so watch care usiwaudhi sana wanawake
  13. W

    Hemed awaangukia mashabiki lakini.......

    yupo hivi anajifany a smijui mkongomani mara sijui mwarabu wa dubai /shinyanga jamani hta haya maigizo yao mie siangaliagi kwa kifupi hana jipya ukichangia na **** aliyoifanya huko aibu tupu kwa mtu mwenye akili lazima ujue jinsi ya ku solve problema ana ku react at the time look enviroment...
  14. W

    Ni lazima kumgharamia mwanamke kila kitu hapaswi kusaidia hata kama ana kazi

    inaonyesha kabisa ni jinsi gan mtoa mada hilo tatizo lako lilivyo kuumiza na nahitaji msaada wa kimawazo, kwanza busara hapo lazima ishike mkondo wake ili kumshauri huyo mpenzi wako.tafuta muda mzuri mtoe out na umueleze yanayokusibu nadhani ataelewa na kama anakupenda kweli basi atajitahidi...
Back
Top Bottom