Habari WanaJF,
Leo nimepita pale maeneo ya St. Peters karibu na Mbuyuni Jijini Dar es Salaam nimekutana na bango hili kubwa sana likiwa na maandishi mamubwa “Visit South Africa” inaweza kuwa sio jambo baya ila najiuliza na sisi kwenye nchi za Wenzetu tunafanya kujitangaza hivi?
Nawaza...
Wanajamvi habari za muda huu,
Kituo kimoja cha mafuta huko nchi za wenzetu kimeshtukiwa tabia yake ya wizi wa mafuta katika kuwajazia watu mafuta kwenye gari ambao mashine ya mafuta inahesabu huku mafuta yanayoingia ni kidogo sana.
Kuna kipindi Dar es Salaam hapa kulikuwa na mtingo kama huu...
Katika majibizano makali mnamo Machi 23, 2023, Congressman Matt Gaetz alimuhoji kiundani Kamanda wa Kamandi ya U.S. Afrika, Jenerali Michael Langley kuhusu Dola za Walipa Kodi wa Marekani zilizotumika kuwafunza Viongozi wa Kijeshi wa Mapinduzi barani Afrika
Mnamo Januari 2022, Luteni Kanali...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema katika Ibara ya 1 inaeleza wazi kuwa Tanzania ni Nchi Moja na ni Jamhuri ya Muungano. Katika Ibara ya 2 (1) Katiba hiyo inaeleza wazi kuwa eneo la Jamhuri ya Muungano ni eneo lote la Tanzania Bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar.
1. Tanzania...
Yaani kama watu wameshindwa ni bora kuchukua wengine kuliko watu wale wale kuwazungusha kila baada muda mfupi ni kama wanafanyiwa ‘trial and error’ matokeo yake kwenye Wizara wanaanza jambo hawamalizi wanaondoka na mwingine akija anaanza yake
Unajichanganya kwa namna gani ikiwa unanunua kwa duka lao kabisa na wao wakisifia ni original?
Wao ndio wanaofanya mchezo basi wa kuweka vifaa feki na kudai ni original ili kupata faida maradufu
Salam Wanajamvi,
Nisiwapotezee muda niende moja kwa moja tu kwenye mada. Yaani nimenunua vifaa vya umeme na kuweka kwenye nyumba zikiwemo sockets, taa na nyaya. Ila ikiwa ni miezi 9 tu tangu kuweka vifaa hivyo yaani baadhi vimeanza kuharibika vyenyewe.
Taa zinaungua sana choke lakini kubwa...
Wakuu salama
Innocent Bashungwa ambaye jana ameteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi amekuwa Waziri anayehamishwa Wizara mara nyingi sana. Nini hasa kipo nyuma ya Bashungwa kuhamishwa Wizara kila mara?
Ukiangalia tangu atotolewe kuwa Naibu Waziri wa Kilimo na kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara mnamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.