Recent content by vanga

 1. V

  Msaada: HDD data recover

  Habari, Naomba kujua kama kuna mdau/wadau waoweza kufanya physical damage data recover, HITACHI Deskstar 250GB haispin ila nimejaribu kubadilisha circuit nyingine ya Hitachi 250GB version & model namba zina utofauti kidogo imeweza kuzunguka lakini haisomi. Msaada please.
 2. V

  TV yangu haionyeshi rangi vizuri. Mafundi saidieni

  Hizi ndiyo ramli,ikifa back light asingeona hata picha
 3. V

  TV yangu haionyeshi rangi vizuri. Mafundi saidieni

  Hii shida ipo kwenye kampuni zote. Backlight na T-con faults ni janga kwenye technologia ya flat screen ila muhimu ni kuuliza kama kampuni husika ina service center hapa bongo na hakikisha unajaza warranty kadi.
 4. V

  TV yangu haionyeshi rangi vizuri. Mafundi saidieni

  Ukiweka picture au video clip tutajua tatizo ni nini ila vinginevyo ni ramli
 5. V

  Ngoja nikwambie sasa, sisi wahuni wa miaka ya 90 na tulivyo sasa

  Hizo zote za juzi tu mitaa ile,za kitambo ilikuwa ni camp bar pamoja na Madison square pale Tabata bima na hapo Jirani na Mandela ya kitambo ni maruma bar.
 6. V

  Ngoja nikwambie sasa, sisi wahuni wa miaka ya 90 na tulivyo sasa

  Enzi hizo hakuna police post ilikuwa ukizingua unawekwa zone (CCM) na pale CCM kimanga kulikuwa na mbabe mmoja anaitwa Genda kwenye 80's-91 na Twiga namkumbuka golikipa Katuba.
 7. V

  Tuwe wakweli: Ubunge umekuwa rahisi na usiotisha tena. Kuna wa kulaumiwa au kupongezwa?

  Nimechoka kila ninapo pangusa page za Instagram naona watia nia ambao wengi wao wanatia mashaka kama wana uwezo wa kupambanua hoja za msingi katika taifa, upande wa wenzetu upinzani si mbaya kwa watu wao waliojitokeza wengi wao wanao uwezo.
 8. V

  Motor ya 3 phase

  Kuna namna ya ku loop ila capacitor itaitajika,check na fundi wa motor rewinding au mtandaoni utapata maelekezo lakini itategemea na HP ya motor ili iweze ku maintain RPM yake katika single phase.
 9. V

  Ninunue TV gani kati ya TCL na Blackstone?

  Kwa uzoefu wa workshop chukua TCL ipo vizuri kuliko hiyo ambayo inatumia common chip na firmware za kichina. Kuhusu mistari (fault za T-con) lipo kote na ndiyo tatizo kubwa la flat TV haswa za brand kubwa hata kama imetengenezwa Korea.
 10. V

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Hongera kwa TANESCO,eneo ili la Mbezi Mpiji Magohe- Kibesa sasa limepata Nuru ya umeme na Mradi ulianza Novemba 2019 hadi sasa kwenye 80% mmekamilisha project yenu, Asanteni.
 11. V

  Msaada, TV yangu imezima ghafla

  Kama taa nyekundu(standby light) haiwaki embu jaribu mambo yafuatayo: tazama power cable au adapter yako kama imeunganishwa vizuri kwenye switch socket na kama unatumia TV guard jaribu kuichomoa na kuunganisha moja kwa moja kwenye socket ikishindikana chomoa waya ya umeme toka kwenye socket...
 12. V

  Kuvunjika kwa kioo cha Tv. Je, naweza kubadilisha?

  Ushauri wangu kwako ni kununua TV mpya,bei ya kioo kwa sasa hapa TZ unapata TV mpya. Sent using Jamii Forums mobile app
 13. V

  Nahitaji kununua TV ila sijui ipi ni bora zaidi na ni full HD

  Sikushauri kuchukua SONY kwa sasa,hawa jamaa walikuwa vizuri enzi za CRT technology na technology yao ya trinton colours display lkn kwenye hii technologia ya flat TV si wazuri kuna wakati wa LCD,TV zao nyingi sana zilikuwa na matatizo kwenye display haswa kioo kupata fungus na fault za T-con na...
 14. V

  Uchaguzi Serikali za Mitaa: CCM wampitisha tapeli, mwizi na jambazi kuwa mwenyekiti wa mtaa wa Nyambwera kata ya Tandika Temeke

  Pale Mbezi - Mpigi Magohe kuna S.Duchile kapita bila kupingwa licha ya kutolewa taarifa ya mwenendo wa tabia zake lakini wana CCM na wananchi walipuuziwa huyu labda abanwe na kanuni za uongozi toka kwenye chama hama ashushiwe nehma toka kwa Mora aache utapeli wa mashamba na ujinga mwingine.
 15. V

  Aibu kubwa kwa Taifa Kata za Manzese , Mabibo , Makurumla CCM Wamejiteuwa Wenyewe Peke Yao , Hakuna Mgombea Yoyote wa Upinzani aliueteuliwa.

  Ndiyo,alishinda mzee Mponji lakini kuna ulazima CCM mkoa waje wachunguze kwanini SAID DUCHILE ameteuliwa wakati akiwa anajulikana kwa kashfa zake za dhuruma za mashamba ya watu,unyanyasaji wa kingono,utapeli na wizi wa material za ujenzi katika site za watu.Hapa kwa jicho la pekee CCM mkoa au...
Top Bottom