Recent content by Taeyong

  1. T

    Career gani bora upande wa Information Technology?

    Unaweza coding? If yes komaa nazo sana uwe programmer. Binafsi nina plan kuspeciliaze na. Networking. Nimegraduate last year.
  2. T

    Majina ya kuitwa kwenye usaili TAKUKURU yametoka

    Ni usaili wa mandishi. Yaani mnapewa km mtihani mnafanya kisha mnakusanya wanasahisha, watakaofanya vzr wanaitwa usaili wa mdomo (oral interview).
  3. T

    Fangasi sugu sehemu za siri

    Sh ngp inauzwa!?
  4. T

    Tatizo la kupoteza usikivu linasababishwa na nini?

    Dah Pole sana. Binafsi nina tatizo kama lako.
  5. T

    Licha ya kuambiwa chuo kuna watoto wakali. Lakini kuna Watu walimaliza chuo bila kupata demu yeyote

    😭😭😭😭 Dah huu Uzi unanihusu 💔💔 Miaka 3 ya degree bila demu chuo na kifupi ata kupiga 🍆 hata mmoja haikuwezekana.
  6. T

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Wadau TPCSS 5 ni sawa na sh ngapi? (Posta)
  7. T

    Internship millioni kumi (10,050,146.26) per month

    Moja ya vigezo ni: The applicant must be a national CERN Member or a CERN Associate Member State. Kindly fafanua kdg hiki kigezo.
  8. T

    Naomba ufafanuzi kuhusu hizi nafasi za kazi za muda Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)

    Sijawahi kua apply mkuu. Kwa faida ya wengine pdf hili hapa.
  9. T

    Nina maumbile madogo ya uume

    😁😁 miyeyusho
  10. T

    Nina maumbile madogo ya uume

    Ikisimama angalau iwe cm 12 kuendelea.
  11. T

    Nina maumbile madogo ya uume

    Una umri gani?!
Back
Top Bottom