Recent content by ustadhijuma

  1. U

    Dkt. Slaa: Viongozi kuwa mstari wa mbele kwenye maandamano sio lazima

    Sio anaponda kwa sababu hahusiki kwenye mgao? Mgao ungemuhusu angeponda kiasi cha povu hivyo?
  2. U

    Dkt. Slaa: Viongozi kuwa mstari wa mbele kwenye maandamano sio lazima

    Maandamano ya kweli MBOWE hawezi kuweka familia yake front line. Kuna namna tu
  3. U

    CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

    Nitakuwa pembeni kukushikia simu pindi polisi watakapokudandia kwa nyuma
  4. U

    John Heche yuko mubashara Star tv akichambua miswada ya sheria za Uchaguzi, azungumzia pia kurejea kwa Utekaji!

    Sisi kama viongozi wa Dini tunachukizwa sana na siasa za zinazofanywa na watu wa aina ya heche, wanasiasa wa Chadema mjiangalie sana
  5. U

    Rais Biden amtunuku nishani ya heshima askari aliyekaidi amri katika uwanja wa vita Vietnam

    Alichonifurahisha huyo askari ni kugomea maelekezo ya kipuuzi.
  6. U

    "White widow" mjane mweupe anayeumiza vichwa vya majasusi duniani

    Umejitahidi kutuandikia Drama ya Mossad. Watakupa tuzo...
  7. U

    "White widow" mjane mweupe anayeumiza vichwa vya majasusi duniani

    Naunga mkono hoja. Yule mzungu Innayat kassam ni agent wa mossad na ndiye aliyemaliza game nzima. It's planned game.
  8. U

    "White widow" mjane mweupe anayeumiza vichwa vya majasusi duniani

    Hao mabikra wenyewe wakisikia file lako watatoka nduki
  9. U

    CCM badilikeni, wenyeviti wa CCM Mikoa na Wilaya wawe wasomi wenye vyeti vya taaluma

    1.Nitajielimisha kadri ya uwezo wangu na kutumia elimu yangu kwa faida ya wote. 2. Injili takatifu inasema "Mshike sana elimu usimuache aende zake" 3. Mafundisho ya uislamu yanasema "Kutafuta elimu ni jambo la lazima kwa Kila muislamu wa kiume na WA kike" Elimu elimu elimu Asanteni
  10. U

    Kisa cha ajabu kabisa katika mapenzi

    Au sio sredi tayari hahahahah
  11. U

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Mkuu dindilichuma naomba kufahamu yafuatayo. 1. Ada na michango mingine kwa kozi ya certificate in library and information studies ni kiasi gani? 2. Ada hiyo inalipwa kwa awamu ngapi? NA awamu ya kwanza inatakiwa kulipwa kiasi gani? 3. Je naweza kulipia ada za unit mbili kwanza nikazisoma na...
  12. U

    Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Je mtu mwenye diploma ya it anaruhusiwa kuomba degree ya psychology and counselling, au law enforcement?
  13. U

    Katibu Mkuu wa CCM Mgeni Rasmi Mafunzo ya Wenyeviti Wa UVCCM wa Mikoa Kesho Juni 19, 2021

    Taratibu za kuwapeleka vijana ambao si viongozi wa UVCCM lakini ni wanachama wa jumuiya hiyo zipoje?
Back
Top Bottom