Recent content by under_age

  1. U

    Sultani Jamsheed hakukana kiti cha Usultani wa Zanzibar

    Kurudi kama sultani, KATIBA INAMKATAZA. kurudi kama mzanzibari kuja kutembea kwao anakaribishwa (hata komandoo Salmin Amour aliwahi kumkaribisha jamsheed na familia yake kuja kutembea Zanzibar kwenye mkutano wake wa hadhara)
  2. U

    Sultani Jamsheed hakukana kiti cha Usultani wa Zanzibar

    jokakuu. Narejea tena . Zanzibar kuna watu wanayalaani yale mapinduzi lakini hawaukubali usultani na wala hawautaki hata kuusikia , yes i said it (likihitajika darasa hapa nitatoa). Familia yangu upande wa baba ni katika waliopata mateso ya mapinduzi na jamaa wa upande wa mama walikuwa upande...
  3. U

    Sultani Jamsheed hakukana kiti cha Usultani wa Zanzibar

    well said bro, na hata waliouliwa kwenye Mapinduzi wengi wao ni waZanzibari lakini historia na siasa za shule zinatulazimisha tuamini kwamba ni waarabu.La kufanya ni kusahau yaliopita na kujenga Zanzibar mpya, tukikumbatia historia ,itaendelea kutugawa milele na milele.Jambo ambalo nina mia juu...
  4. U

    Sultani Jamsheed hakukana kiti cha Usultani wa Zanzibar

    ndugu. Labda umenisoma sivyo, hakuna atakaekataa mgawanyiko wa Zanzibar kisiasa.Nilichoongelea ni uhali halisi wa maisha ya Zanzibar tunaokumbana nao katika our daily life routine,mfano ni hii post yako.Wengi wenu mnachanganya mambo, mkiona mtu anayalaani au kuyapinga mapinduzi ya 1964 au...
  5. U

    Sultani Jamsheed hakukana kiti cha Usultani wa Zanzibar

    Mwanakijiji. Hii mada umeiweka kwenye jukwaa la siasa na ni tegemeo langu kwamba utaijadili kisiasa na sio kibarazani barazani. Serikali ya sasa ya Zanzibar ni ya kidemokrasia na bahati nzuri imepata baraka za CUF na CCM, katiba yetu inazungumzia kuyalinda mapinduzi na inapinga usultani na...
  6. U

    Sultani Jamsheed hakukana kiti cha Usultani wa Zanzibar

    ndugu. maelezo yako ni mazuri lakini nimewahi kuongea sana hapa, unajua hali ya zanzibar tunaielewa zaidi sisi tunaoishi zanzibar, tunajua tulikotoka na tulipo,ni ukweli usiopingika kwamba wazanzibari wamekumbana na mengi yaliyowafunza katika maisha yao halisi (na sio magazeti).Hivi utaamini...
  7. U

    Sultani Jamsheed hakukana kiti cha Usultani wa Zanzibar

    kama kuna kipengele ndani ya katiba ya SMZ au at least kwenye ilani ya CUF inayotoa nafasi kwa usultani kurejea zanzibar, ningekuomba utuwekee hapa, otherwise ningelikuomba uache porojo za kuchochea chuki.Zanzibar ni nchi inayolindwa na katiba yake na sio maelezo ya watu. nawasilisha
  8. U

    Kuna ubaya gani Zanzibar ikajitenga na kuwa huru kama Zamani?

    ndugu tumain nimependa sana michango yako ,u r very fair indeed, unajua mimi msimamo wangu ni serikali tatu,kama haliwezekani hilo basi muungano uvunjwe ,na sina ubaya wala ugomvi na watanzania bara, ndani ya nyumba ninayoishi naishi na watanzania bara hapa, kaka zangu wawili wameowa...
  9. U

    Kuna ubaya gani Zanzibar ikajitenga na kuwa huru kama Zamani?

    Mtetezi wa haki na gereza ni kama mtu na mkewe.Hiyo kauli haiwezi kumtisha mtu ndugu yangu.Ni wakati wa wadanganyika kuamka,miaka yote hii mmeshindwa hata kudai serikali yenu kwa woga mliopandikizwa na Nyerere,wadanganyika ni lazima mkubali ukweli kwamba bado ni wachanga sana kwenye siasa za...
  10. U

    Kuna ubaya gani Zanzibar ikajitenga na kuwa huru kama Zamani?

    Siamini kwamba katika karne ya sayansi na teknolojia ,uwazi na ukweli ,kuna mtu anaweza akatoa mawazo kama hayo red bolded, too low my bro! sorry to say that!
  11. U

    Kuna ubaya gani Zanzibar ikajitenga na kuwa huru kama Zamani?

    huyu okello alikuwa kibaraka tu, masterminders wa mapinduzi ya zanzibar wanajulikana ila wanafichwa, kama yeye ni kiongozi wa mapinduzi ilikuwaje akapewa masaa kuikimbia Tanzania na kwanini asitafutwe alipoelekea na akaenziwa kwavile tunaambiwa mapinduzi yale yalikuwa matukufu? time will tell!
  12. U

    Kuna ubaya gani Zanzibar ikajitenga na kuwa huru kama Zamani?

    hizi za zenji siziiti wizara naziita idara, unakwenda wizara ya elimu kuulizia scholarship unaambiwa uvuke bahari uende wizara husika ya muungano bara, giv me a break my bro!
  13. U

    Kuna ubaya gani Zanzibar ikajitenga na kuwa huru kama Zamani?

    kumbuka kwamba Tanganyika inatumia mwevuli wa jina la Tanzania katika mahusiano ya kimataifa, huku wazanzibari tumepigwa changa la macho na kiserikali chetu ambacho mwisho wake chumbe! Unaikumbuka kesi ya zanzibar kutaka kujiunga OIC? chukua hicho kama ni kigezo, nje ya muungano au ndani ya...
  14. U

    Kuna ubaya gani Zanzibar ikajitenga na kuwa huru kama Zamani?

    kumbuka hata shule ya msingi tuliapishwa kwa nyimbo kuilinda CCM , je tuilinde? unaukumbuka ule wimbo, "naapa naahidi ,mbele ya chama mapinduzi nitakulinda mpaka kufa"
  15. U

    Kuna ubaya gani Zanzibar ikajitenga na kuwa huru kama Zamani?

    wewe acha stori za ali nacha, hivi kabla ya muungano zanzibar ilikuwa inaendeshwa na nani? ,na kwa taarifa yako zanzibar iliyaona maendeleo zamani sana kabla hata ya nchi zote za afrika mashariki, wakati zanzibar ina umeme ,tanganyika lilikuwa ni pori tupu. sasa ndo nashangaa ndani ya muungano...
Back
Top Bottom