Recent content by ulimi waupanga

  1. ulimi waupanga

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    uwiii!!! hili swali lako ni fikilishi sanaaaa
  2. ulimi waupanga

    Utapeli gani uliwahi fanyiwa ukabaki unajicheka mwenyewe

    Dah! sitosahau ili tukio, nilikiwa nimefungua kiduka changu maeneo fulani ya Morogoro, jirani kidogo kulitokea ujenzi mkubwa wa Sekondari kwahiyo pale kwenye ujenzi pakawepo na vijana wengi wanaoishi kambini kama mafundi na vibarua. Walikuwa na tabia ya kuagiza vitu haswa vocha, vinywaji au...
  3. ulimi waupanga

    Wataalamu wa mambo ya madini

    Crusher/karasha zinaanzia 8m-15m kutegemeana na ubora wa plates zake. Si vyema sana kuanza hizi harakati kwa kununua hizi Crusher bila ya kuwa na uhakika wa kupata mawe. Na siyo mawe/ore tu bali mawe(ore) inayosoma vizuri. Naposema kusoma namaanisha kiwango cha Dhahabu(PPM) kilichomo kwenye mawe...
  4. ulimi waupanga

    Kwa nini tuwaombee waliokufa?

    Mfalme Sauli yalipomfika shingoni akaenda kwa mganga(kwenye mizimu)ili amuite Nabii wa Mungu Samweli ambaye alikuwa kashakufa kitambo ili Samweli amuombee msamaha kwa Mungu maana Mungu aliziba masikio yake hakutaka kusikia maombi ya Mfalme Sauli. Marehemu Samweli aliitwa na roho yake ikaitika...
  5. ulimi waupanga

    Niliyoyagundua baada ya kuwatembelea wagonjwa Muhimbili

    Bora hapo wanakutibu kwanza ndo wanaanza kukudai, hospital ya rufaa Mbeya wanakuandikia bill ulipe ndo utibiwe, majuzi nimempeleka dogo kapata ajali kapasuka kichwa, dakotari akiitaji panadol anakuandikia mkeka ulipie kwanza ndo upewe dawa
  6. ulimi waupanga

    Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

    Nafikiri Kuna tofauti kubwa kati ya DINI na IMANI, Yawezekana Ibrahim na wengineo kabla ya Musa walikuwa na IMANI lakini siyo Dini. Ibrahim alikuwa na IMANI juu ya Mungu muumba ilikuwa ni IMANI hisiyo na mfumo/mtindo maalumu (DIni)! Hii mifumo ya kiimani(Dini) ilikuja wakati wa Musa ambapo Mungu...
  7. ulimi waupanga

    Indonesia, Malaysia na Thailand watangaza kuachana na dola ya marekani

    Swali la msingi la kujiuliza, ilikuwaje dollali ikawa dominant? Kama hiyo/hizo sababu hazijatatuliwa basi dominance yake haiwezi kutatatuliwa kwa kuondoa matumizi yake kwenye kanda mbalimbali. Siona namna ya kondoa utawala wa dollali kama hamna standard currency nyingine inayoibukia ili iweze...
  8. ulimi waupanga

    Ratiba za CAF huwa zinapangwa kabla, hizi draw ni kiini macho tu

    Ina maana mnyama anacbeza mechi mbili tu bihashara yake kwishaaa! Mimi sijapenda hata kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ulimi waupanga

    Ofisi ya Waziri Mkuu ina Mawaziri Wawili na Manaibu kadhaa, hawa wameshindwa kumsaidia PM hadi kaongezwa Naibu Waziri Mkuu?

    Anakuwa mratibu wa shughuli za Serikali, sasa nambie Majaliwa kabaki na majukumu gani ya maana kama PM? Mimi naona Majaliwa kafukuzwa kidizaini vile Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ulimi waupanga

    Sadio Mane kuwakamua Al Nassr bilioni mbili kwa wiki

    Kuna miaka Wachina walikuja kwa kasi lakini naona wamelala mbele
  11. ulimi waupanga

    US Dollar sasa ni 2600. Airport Haipo

    Kwake ni faida kubwa sanaaa! Ni sawa na ukienda kwa dalali kuuza mazao ukute lile jiwe la kilo moja amelifanyia umafia liwe na uzito na 1.5kg! Itakulazimu kupima mazo mengi zaidi ili upate kile moja. Pesa yake ndo standard/ Kipimo cha kupimia thamani ya pesa zingine
  12. ulimi waupanga

    US Dollar sasa ni 2600. Airport Haipo

    Huyo Rutto alikuwa kashiba maharage ya Mbeya! Kwa puttin leo imepanda mpaka Ruble 90.22, kwa Mchina inasoma 7.17. Na jamaa wanazidi kuifanya ipande thamani tu mpaka watakapoona imetosha
  13. ulimi waupanga

    Nampongeza Askofu Rugambwa wa Nyaishozi kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya

    Lugambwa= Anayeongelewa haswa haswa kwa mema
  14. ulimi waupanga

    Zijue nchi sita tajiri katika Afrika wakati Pato la jimbo la California linazidi pato lote la Afrika

    Hao California wanafanya bihashara gani Duniani? Mbona kila bidhaa tunaona ni made in China?
Back
Top Bottom