Recent content by Phobia

  1. Phobia

    DOKEZO Watumishi Ajira Mpya (Sikonge na Rombo) hatujalipwa Fedha za Kujikimu, tunapigwa danadana

    Hizi halmashauri kuna madude mengi sana kwa maana serikali kuu haioni huu upumbavu unaofanywa na wakurugenzi na watendaji wapumbavu wenzie
  2. Phobia

    Mapitio ya Kitabu "I'm the State": Kazi ya Museveni, kauli ya Mkapa kuhusu Chato

    Kazi ya Museveni, kauli ya Mkapa kuhusu Chato Jumanne, Mei 09, 2023 Rais wa awamu ya tao, Hayati John Magufuli (kushoto) akisalimiana na e Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita. Waandishi katika sura hii wanajadili kwa ufupi jinsi...
  3. Phobia

    Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

    Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea...
  4. Phobia

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Japo na yeye alikosea sana ila kwa haya yanayoendelea kusema za ukwelli magufuli alikuwa mzalendo kweli kweli bila kupindisha yule bwana alinyooka vibaya mno na alikuwa Rais mzalendo na bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili Huko uliko nisamehee kwa kukusema kwa ubaya! Nisamehe sana mzee wangu...
  5. Phobia

    Ni kweli mwanamke ni pambo la nyumba

    "Baada ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) kutoa tamko imeonekana Uislamu ni dini ambayo haiangalii maisha ya wanawake, haiwajali wanawake lakini ukweli ni kuwa Uislamu umemthamini sana mwanamke. "Katika Uislamu mwanamke akiolewa anatakiwa kustarehe tu, hatakiwi kufanya kazi yoyoye na...
  6. Phobia

    Katuni ya Masoud Kipanya inamaanisha nini?

    Kwanini masudi kipanya anamaanisha hivi? Kwahiyo anamaanisha sie chadema tumemezwa na ccm? Kwahiyo chadema tumekuwa CCM B! Ama hakika chadema na mbowe wametuingiza kwenye mkenge! Jana alitudhalilisha na leo tena daah?
Back
Top Bottom