Recent content by Ugm bin champion

  1. Ugm bin champion

    Jambo gani umewahi lifanya kwenye mapenzi ukajutia

    Kipindi cha ujana, nilisafiria Penzi kwa binti wa mkoa fulani, mkoa ambao niliutamani sana kuutembelea kutokana na sifa zake wanazoujaza watu. Basi kwakuwa huyo manzi anaishi huo mkoa nikaona hapa ndio fursa ya kumaliza ndege wawili kwa jiwe moja, kidume nikakata tiketi kusafiria penzi lisilo...
  2. Ugm bin champion

    Utata kuhusu Hadithi ya gharika la NUHU na SAFINA

    Mashariki ya kati kuna wanyama? Kuna simba huko? Kuna nyati huko? Kuna tembo kule? Je ikawaje hao wanyama woote wahame iyo mashariki ya kati waje wajazane afrika ambako kiuhalisia hawakupaswa kuwepo kulingana na maelezo ya dini zenu kuwa safina ilisimama huko uturuki mlima wa hararati, yaani...
  3. Ugm bin champion

    Utata kuhusu Hadithi ya gharika la NUHU na SAFINA

    Stories za gharika ya Nuhu ni fiction tu zimetungwa ama zimekuwa copied kutoka ktk hadith za Afrika ya kale. Ukifuatilia vizuri hadithi za Nuhu utagundua kuwa zimetokea si zaidi ya miaka 7000 iliyopita ilihali kuna stori kama hiyo hiyo ambayo ilikuwepo na ilitokea Kabla ya mgawanyiko wa mabala...
  4. Ugm bin champion

    Dodoma: Yanayojiri kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na BAWACHA

    Na wasio fuata hivyo vyama vyenu mnawaweka kundi gani? Au mtu akiwa kinyume na itikadi za kisiasa za kuunga juhudi za vyama vyenu mnamuweka ktk makundi mabaya? Siasa ni upuuzi
  5. Ugm bin champion

    Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

    Soon vita itapamba moto humu kati ya wavaa kobazi na waimba mapambio wajukuu wa mtume paulo na nduguze mwamposa[emoji28].. ngoja tuone
  6. Ugm bin champion

    Wakatoliki mnakwama wapi kwenye media?

    Acha uongo wewe hiv unaijua vizuri historia ya ulimwengu? Huo uyahudi hauna sifa ya kuwa dini pekee kongwe maana kabla yake kulikuwepo dini kongwe zaid ambazo kibongobongo ama Afrika hatuzijui kwa sababu hatukutawaliwa na hawa jamaa wa hizo dini basi hatufahamu data za dini zao ambazo ni kongwe...
  7. Ugm bin champion

    Ila Wanawake hili huwa linawaumizaga sana huwa mnajikaza tu

    Bora wewe umeongea ukweli. Kuna muda wanaume tunapoona mambo hayaendi na mahusiano uliyonayo huyatendei haki, yaani humtimizii haja zake mpenzi wako, ni bora umuache kuliko kumtesa, hasa ukiwa na hawa wanawake wenye tamaa na wasio na uvumilivu, ukiona mwanamke wako kapunguza kukuvumilia na...
  8. Ugm bin champion

    Inakuwaje nchi yetu iliyojaa fursa na rasilimali hayumo Mtanzania hata mmoja wa asili kwenye kumi bora ya matajiri?

    Sisi bado tuna ujinga vichwani mwetu. Imagine mzazi leo akipata pesa na mali nyingi anagoma kumpa mwanae/wanae urithi akiamini kwamba na wao wakajitegemee au watafute vya kwao badala yake anawaambia urithi wa pekee ni elimu, jambo ambalo si kweli, Kwa dhana hii mtu anapofanikiwa na kushindwa...
  9. Ugm bin champion

    M23 ni private mercenaries wa Marekani na Ulaya. Wazungu wako miaka 100 mbele

    Na ndio hawa hawa waliotunga hizo sheria za Kimataifa hata katika uwanja wa Vita inapangwa vita ipiganwe vipi, adui aadhibiwe vipi. Ni ajabu sana wahuni/magaidi wanaoharibu mali za watu na kupoteza maisha ya raia wasio na hatia, wahuni hawa ama magaidi wanalindwa na sheria za umoja wa mataifa...
  10. Ugm bin champion

    Hivi ndivyo account za facebook zinavyodukuliwa, chukua tahadhari, chunga account yako

    Dhana potofu hizi Hivi nani aliyewaambia mitandao fulani ni kwaajili ya umri fulani au watu fulani? Ushamba tu wa waTanzania kutojua umuhimu na matumizi sahihi ya hii mitandao ndio huko kujifanya mnabagua baadhi ya mitandao. Facebook&instagram ndio sehemu pekee ambako unaweza kupata marafiki...
  11. Ugm bin champion

    Hivi kuna maisha baada ya kifo?

    Wafia dini washauharibu huu uzi. Uzi ulitakiwa kujibiwa kwa facts na vithibitisho vinavyomake sense visivyoegemea upande wa dini wala imani yoyote. Vithibitisho vya kweli sikuzote havichagui hali yako ya kiimani wala rangi yako, facts ni facts tu, wanaothibitisha kwa kutumia biblia na quran na...
  12. Ugm bin champion

    Ugomvi na mke wangu kila nikipata pesa

    Unaweza kukuta huyu mtoa mada ni Mzee ama kijana wa kuheshimika kwa muonekano ambaye nje ya nyumba anaongozana na mkewe kwa vicheko vya kutuhadaa na tabasamu feki, kumbe ndani ya nyumba anaendeshwa na mwanamke. Msimamo na Maamuzi hizi sifa wanaume wengi ndani ya ndoa wamezikosa ndiomaana...
  13. Ugm bin champion

    Nimetafuta kazi mpaka nimechoka najiona sina faida hapa duniani

    Nikutangulizie salamu unazostahili wewe na wasomi wenzako vilaza PUMBAVU ZAKO. elimu mliyojifunza darasani kuanzia chekechea mpaka huko ukilazani yaani chuo kikuu, haukuambiwa kuwa unasoma ili upate kazi au kuajiriwa, bali ulkuwa ukisisitizwa kujifunza na kuongeza maarifa. Kama ulisoma coz...
  14. Ugm bin champion

    Tatizo la Muungano ni Uislam siyo Wazanzibari

    Wazanzibar hawataki kujifunza na kuijua historia sahihi. Zanzibar na Tanganyika kabla ya kuja hawa washenzi wakoloni waarabu na wazungu, hizi ardhi zilikaliwa na mtu mweusi kwa maelfu ya miaka bila shida yoyote. Shida ilianza pale mkolon wa uarabuni kuja East afrika kupitia pwani na kuweka...
  15. Ugm bin champion

    Hivi huwa mnaoana kweli humu mbona hatupeani mialiko ya harusi?

    Huu msemo imenibidi tu niutumie utamfaa mtoa mada. Ni kweli akihitajika ataitwa awe mpole tu[emoji28]
Back
Top Bottom