Recent content by Uchira 1

 1. Uchira 1

  PGO mwiba kwa maafisa wa Jeshi la Polisi, wanafanya kazi kwa taratibu zipi?

  Ukipata namie hakikisha napata nakala
 2. Uchira 1

  Watoto wa IGP Sirro nani anawafahamu? Tabia zao zikoje?

  Tunajadili watoto wa wenzetu kwa ubaya zaid ila tusisahau nasie tunawetu. Tujiulize wanazungumzwaje na watu? Tupunguze chuki zisizo na tija maana hata mbele za Mungu hatutendi haki. Binafsi ninafahamiana na mmoja na ni mtu mwema sana na n mkarimu sana kwa watu. Pia anasaidia hasa katka kazi...
 3. Uchira 1

  Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

  Mbona nawe huja dai hak zako kwa namna hyooo? Usitaki niaminisha katka upande wa uovuni
 4. Uchira 1

  Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

  Mbona nawe huja dai hak zako kwa namna hyooo? Usitaki niaminisha katka upande wa uovuni
 5. Uchira 1

  Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

  Na Mungu ajalie maana hayo mambo hatatafuna taifa na kila aliye juu ya uso wa dunia
 6. Uchira 1

  Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

  Je hiyo njia sahihi ya kudai haki hata mbele za Allah au Mungu?
 7. Uchira 1

  Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

  Ndo maana nasema weng hatujui haya mamboo.mtu yule namna na umiliki wa silaha naamin anamafunzo ya silaha. Kama huamin basi ka na mtizamo wako namie nbaki na wangu
 8. Uchira 1

  Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

  Ameshuhudia ila mengne yanamaswali. Maana tulichokiona kwenye video na anachokisema kunasehemu vinakinzana na hii n kwa kawaida kwa binadamu kutaka kuonekana wameshuhudia kutoka mwanzo mpaka mwisho
 9. Uchira 1

  Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

  Mkuu ugaid n mpana sana na usijiwekee mpaka katika mambo nyeti kama haya. Gaid ama ugaid haujawah taki kikubwa ila kama lililotokea. Kwa wakati wako jitahid kusoma sheria ya ugaidi pia kujifunza viashiria vya ugaid namna ugaid unavyopenya.pia na malengo ya magaidi.
 10. Uchira 1

  Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

  Binafsi najisemea kuwa watanzania weng hatujui matukio na hatuchukui muda wetu kujisomea na kufuatilia mambo. Ndo maana tukio hili linachukuliwa kirahisi sana na linamaelezo meng ya tofauti tofauti na mepesi. Ukisikiliza shuhuda mmoja mmoja utaamini haya niandikayo pia ukifuatilia comment za...
 11. Uchira 1

  Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

  Nionavyo mm ukiona mtu anafurahia ugaid nae n gaid au n sehemu ya ugaid. Maana kunawatu wanatumika kuwasaidi magaid pasipo kujua ama kwakujua ila one day kila mmoja ataonja athari za ugaid endapo ukishika hatamu N rai kwa wote kukemea matukio haya kwa nguvu zote.
Top Bottom