Recent content by ubongokid

  1. ubongokid

    Safari ya Majaribio ya Treni ya SGR na Viongozi wa Dini kutoka Dar es Salaam - Dodoma kwenye Dua na Maombi ya Kitaifa

    Tutarajie Mengi Hasa ukizingatia wamechanganywa wanafiki kadhaa
  2. ubongokid

    Safari ya Majaribio ya Treni ya SGR na Viongozi wa Dini kutoka Dar es Salaam - Dodoma kwenye Dua na Maombi ya Kitaifa

    Sipati Picha Umeme Ukikatika Maeneo ya Kati ya Moro na DOM
  3. ubongokid

    CRDB Bank na makato ya matumizi ya kadi za ATM

    Kwanza akaunti yako ni ya aina gani,Inacashflow kiasi gani,Una Hela?Maana wakati mwingine kulalamika kwa ajili ya 17000 kunaweza kuwa nako ndio chanzo cha matatizo.Wanaocha Ela zao Benki zikatwe ni wale wenye Bili kadhaa.Ila kama hela yako ya Mawazo we Tumia Tigo PESA,MPESA AIRTEL MONEY Kuweka...
  4. ubongokid

    Makonda acha Uongo, hukugombana na Wauza Unga, Uligombana na kila mtu

    Mkuu,Unaona SASA,Chawa wa Makonda ni nani?ni Mtu kama wewe ambaye unajificha nyuma ya Keyboard kusema maneno lukuki ambayo huna ujasiri wa kuyasema Wazi.Namkumbuka SANA Ben Saa nane.Aliwahi sana kuiacha Chadema.Angeweza Kumjibu Makonda Live mbele ya Kamera sio ninyi ambao mnajificha nyuma ya...
  5. ubongokid

    Nagombea Udiwani 2025

    Hana Chuki Bwana.Ana mtazamo Potofu tu.We unafikiri mambo ambayo yanafanywa na Wana CCM kwa sasa na huko nyuma lazima uone kabisa kuna UFISADI ndani ya CCM ila unaweza kukuta huyu ana KADI ya CCM.Kwa siasa za BONGO hakuna sehemu ambayo kuna uzalendo hata wa uongo.iwe CHADEMA,IWE CCM,IWE ACT au...
  6. ubongokid

    Makonda acha Uongo, hukugombana na Wauza Unga, Uligombana na kila mtu

    Bwana we,Makonda kama kweli unahitaji Kupambana naye Kwa maneno lazima uwe naye Ground Zero na uende naye Bampa tu Bampa.Kupambana na Makonda nyuma ya Keyboard hakuna anayemuweze kwa Tabia zenu za Kinafiki na uoga. In short Bada hakuna anayeweza kudeal na Makonda na Akamnyamazisha.Hata Magufuli...
  7. ubongokid

    Nagombea Udiwani 2025

    OK,Hili JIBU lako ni ZURI.Kwanza kabisa Kama umeweza Kuwa Mwenyekiti wa vikundi na chama tayari una KAMVUTO FULANI.Mvuto maana yake ni kukubalika.Swali la PILI ni Je Uenyekiti wa Tawi unautendea HAKI?Je Uongozi wa Hivyo Vikundi viwili Unautendea HAKI? Kwa Jimbo la Moshi Vijijini naamini kabisa...
  8. ubongokid

    Nagombea Udiwani 2025

    Nakubaliana na wewe kwamba CCM,CHADEMA,NCCR,TLP,TADEA n.k.Hakuna kabisa Uzalendo.Ila Wazalendo wanaweza wakawepo.Mwananchi kama huyu anapoanza kuonesha nia ya kushika DOLA iwe ni kwa njia ya CCM au Chama chochote ni jambo zuri sana.Kwani iaonesha kwamba sasa Kila Mtu anatambua wajibu wake na...
  9. ubongokid

    Nagombea Udiwani 2025

    Mkuu Ndio.Yaani Kila Mwezi Uwe na Bajeti ya Kutembelea Kijiji angalau Mara Moja.Usalimie Wananchi wenzako,Upige nao Stori,Mjadili changamoto zenu na Fursa,Utengeneze Urafiki wa Kisiasa.Shawishi Baadhi yao wawe na Kadi za Chama,Sambaza Bendera za Chama.n.k.Cha muhimu hakikisha watu...
  10. ubongokid

    Nagombea Udiwani 2025

    Mkuu,Kwanza kabisa sikushauri ufikiri kutumia PESA kwa lengo la kupata UDIWANI hasa kama ni Mgeni kwenye SIASA.Kwa Kampeni ya Ndani ya Kata MOJA yenye Vjiji SABA Tengea kati ya 50,000 hadi 150,000 kwa kila kata kwa mwezi kwa kipindi hiki cha mwanzo kisha wakati wa Kampeni Uwe na Angalau Bajeti...
  11. ubongokid

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Waunde na Kamati ya Kumfufua?Vipi wale ambao Yeye Aliwapoteza?
  12. ubongokid

    Mjadala wa Wachangiaji M1 JF Jukwaa la Historia 2013

    Uzi ni huu Hapa: https://www.jamiiforums.com/threads/uchochezi-wa-mohamed-said-na-dhihaka-kwa-wapigania-uhuru-wa-tanganyika-na-zanzibar.383235/ Bado niko Nausoma.Naamni kabisa ni Uzi ambao unahitaji kufanywa kitabu ama na Mzee wetu Mohamed Said ama na Yericko Nyerere.Au Wanaweza Kufanya JOINT...
  13. ubongokid

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Huu uzi inabidi uweKitabu sasa.
  14. ubongokid

    Msaada: Natafuta chumba kimoja cha kupanga self-contained Dodoma Mjini

    Vyumba Dodoma ni kama tu Miji ya Dar na Arusha.Be ya Chumba Self Contained Unaweza Kupata 60,000 nje ya Mji na 80,000 maeneo mazuri kiasi na 100-120 kwa maeneo ambayo ni standard.Ukitaka Kupata Chumba Kizuri ni vizuri uwe ndani ya Dodoma kwanza ili uwasiliane na Madalali
  15. ubongokid

    Kizazi cha watoto wa 2000s kinasikitisha sana katika kufuatilia mambo ya msingi

    Kwanza Mleta mada wewe ni wa mwaka Gani?Unatumia Kigezo gani kusema kwamba kizazi cha Y2K kinasikitisha.Kama unawapiwa kwa kutumia uwepo wao JF au wanachofanya mitandaoni basi Fahamu kwamba Jamii forum imeanza mwaka 2005.Internet imeanza 90s kwenda 2000.Wao ndio kizazi ambacho kimelelewa...
Back
Top Bottom