Recent content by Tumba

 1. T

  Vifaa vya magari vinapatikana mtandao gani hapa nchini?

  Bumper la mbele la toyota spacio new model bei gani?
 2. T

  Sony Z3

  Weka picha mkuu. Je ni double au single line?
 3. T

  Inahitajika gari kati ya Spacio au Raum

  Ipo spacio ya 2003 new model CAW ni pm km ukilike.
 4. T

  Naitaji gari bajeti mil 5

  Weka namba yako mkuu nikucheki!
 5. T

  Wadau wa iphone smartphones mpoooo!

  Mkuu samsung galaxy s5 siyo clone inakwenda kwa bei gan?
 6. T

  Jamani nimecheka kidogo nizirai.

  Meno kama jembe jipya!
 7. T

  Jamani nimecheka kidogo nizirai.

  Pua kama tango!
 8. T

  Jamani nimecheka kidogo nizirai.

  Umekomaa hadi ngozi inakubana!
 9. T

  Kiwanja kinauzwa mivumoni,kinondoni dar es salaam

  Ile operation haikuwa pande hizo chief.
 10. T

  Kiwanja kinauzwa mivumoni,kinondoni dar es salaam

  Hakina hati mkuu.
 11. T

  Kiwanja kinauzwa mivumoni,kinondoni dar es salaam

  Kipo center kabisa mita 50 kutoka barabara kuu, kinafaa kwa biashara na makazi, ukubwa mita 25 kwa 40,umeme upo huitaji hata kuweka nguzo, bei milioni 25 mazungumzo yapo. 0713078036, 0712485586
 12. T

  Natafuta archtecture

  Mcheki huyu bwana ni mchoraji mzuri sana 0713786803
 13. T

  Nyumba inapangishwa Mbezi Juu

  Mkuu hebu elekeza vizuri ni mbezi maeneo gani? then lete contact tukutafute
 14. T

  Shamba linahitajika

  Ipo ekari 3 vikawe bagamoyo, bei milioni 12 kwa ekari zote. Bei inapungua kidogo. Kama unaridhika na uko interested ni PM.
 15. T

  Nyumba ya kupanga inahitajika

  Ipo mbezi makonde vyumba 2 vya kulala, choo ndani kwa ndani,jiko, sitting room, fenced na parking kubwa. bei 200,000 kwa mwezi.
Top Bottom