Recent content by tujebway

  1. T

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lataja wahusika wa mauaji Kibiti mkoa wa Pwani

    Unaweza tupa vigezo na masharti hayo? Mfano ukristo umegawanyika sana kuna watu wanatumia sanamu kama symbolism. So hivo vigezo na Masharti ambavo magaidi wa kiislam wote hawavizingatii kabla ya kuanza kuua watu kinyume na mauaji elekezwa ni vipi?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lataja wahusika wa mauaji Kibiti mkoa wa Pwani

    Kuna kitu kwenye hii mijadala ya MAUAJI ayanayofanywa na waislam sikielewagi. Waislam karibu wote iwe youtube au kwingine wanawahi kuwaita watu majina na kuongea kwa dharau sijui makafiri sijui wanajua hawakubali kama wewe. Hii naona inazidi kuonesha nature ya ideology ya dini. Ni mara chache...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Girl Burns Herself To Death After Court Says Her 4 Rapists Not Guilty

    what nmmegundua ni kuwa sisi men hatujui ni kiasi gani wanawake wanaathirika kisaikolojia kwa kubakwa... Nakumbuka quote ya mtu... kuna nchi ni Dhambi kitendo cha kuzaliwa mwanamke. Pakistani na nchi nyingi za kiarabu na India ni moja wapo...
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakikutana Dar

    Mtoa mada inaonekana ni moja ya watu wanaosumbuliwa na ishu ya UDAR... But ukijaona maisha ya mahali pengine nje ya bongo. Utagundua ni ushamba usio na mfano... Dar sio mahali pa kukufanya ujione bora kuliko mwenzio actually ni moja ya maeneo watu wengi wanaishi maisha ya ajabu sana japo ni siri...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ukweli unakera kwanini waafrika hatuendelei kamwe....

    They call the Third World the lazy man’s purview; the sluggishly slothful and languorous prefecture. In this realm people are sleepy, dreamy, torpid, lethargic, and therefore indigent—totally penniless, needy, destitute, poverty-stricken, disfavored, and impoverished. In this demesne, as they...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Hujazungumzia tofali brother.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Rais wa Gambia atangaza nchi yake kuwa dola ya Kiislamu!

    Unajua no wonder why hakuna mtume wala nabii mweusi, I wonder sometimes what GOD is thinking abt sisi. But one thing ni kweli kuwa waafrika tumepofushwa kupita kiasi na haya mambo ya dini na dini ile, nchi masikini duniani haziwezi hata kidogo kuendelea coz dini ndo priority kwao. Hapa tz...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    Very wise kaka.... Unajua jamaa anataka kufabya maisha kama coin kwambe ukifanya hv utabaki middle class maisha yako yote hivi hautabaki middle class.....
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    Business ni career pia, all anasema usikomae na kutaka kutoka kibiashara hata kwa mikopo ukiogopa kujenga eti hakuna faida as ukijenga utaishi mwenyewe in your house so hutagain hela, japo in reality hutalose pia.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    I know capitalism, kama navojua kuwa katika capitalism si kila ambaye hakujenga ni succesful...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    I know capitalism, kama navojua kuwa katika capitalism si kila ambaye hakujenga ni succesful...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    Hamna njia utaelezea na ikawa ndo njia ya mafanikio....
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    Sio lazima walojenga kwanza wawe na wakati mgumu, japo najua hata kama watabaki middle class watakuwa na afadhali kuliko waliinvest na kufilisika... Ukiwa na uwezo jenga, kuwa na ardhi na nyumba sio a negative development ni one step ahead. Kama ulivosema wahindi hawajengi hapa wanaogopa si...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    Kijana mwenye uwezo wa kurudi nyumbani kwake kachoka na mihangaiko ya maisha na kurudi kwake kupumzika ni bora mara 1000 ya kijana mwenye kurudi nyumba alopanga.... Japo biashara au kuinvest sio wazo baya... hakuna formula....
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    Na unajua uhalisia wa hapa tz kwetu? Sio kila mtu anapanga national housing!. Na kama unaenda kupanga kwa middle class mwenye nyumba then unasema umemzidi akili haileti maana kidogo.... Na narudia mimi namsupport kijana anayeweza kujange angali kijana hakosei kama jinsi atayeamua kila senti...
Back
Top Bottom