Mwenye taarifa juu ya matokeo ya usaili na nini kinafuata baadaye na ni lini atujuze tafadhali,,,manake nina hofu plus wasiwasi mpaka basi jamani! Nawakilisha :suspicious:
Kwa wale waliofanya usaili na hawa jamaa wa COASCO, katika nafasi za assistant Auditor na Auditors II Tarehe 16/8/2012 pale Dodoma, vip majibu yao wakuu? Walishawaita watu kazini au bado tuendelee kusikilizia! Mwenye taarifa tafadhari atujuze!
Kuna jamaa wawili, ni vibaka, sasa walimuona dada mmoja pale Mwenge ameweka pesa nyingi tu kwenye temperature yake, anasubiri daladala. Wakapanga kwenda kuzichukua, muda wote mi nawachoraa tuu, wa kwanza akamsogelea yule dada nakuanza kumpiga vibao, tena vya nguvu tu, huku akisema, " we...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.