• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Recent content by TSN

 1. T

  Natafuta chumba na sebule

  Na mimi natafuta chumba maeneo haya haya ,chumba na sebule pawe na umeme na maji kodi ya jumla isizidi Tshs. 70,000 kwa mwezi.
 2. T

  Nimezaa na nisiyempenda

  Aisee mtu asiombee hili janga limkute mana ni full stress everyday
 3. T

  Nimezaa na nisiyempenda

  Thanx kaka !
 4. T

  Nimezaa na nisiyempenda

  NYUMBA KUBWA umejibu vizuri sana,nimejaribu kupitia hizi comment nimegundua wengi wao wanajifanya ma saint kupita maelezo lakini kama ukweli ndio huo huwezi kufanya mapenzi na mtu usiyempenda kwa nini most of people if not all wana michepuko? Nadhani wengi wanacomment kwa kutazama hisia zao na...
 5. T

  Nimezaa na nisiyempenda

  Kuna watu wana comment za kuongeza stress duuuhh..!but all in all ni kwamba sidhani kama mimi ndio wa kwanza kupatwa na scenario kama hii...ngoja waje wahanga wenzangu wanipe experiencies zao walisolve vipi..karibuni!!!
 6. T

  Nimezaa na nisiyempenda

  Umenipatia kisa kizuri na chenye mafundisho lakini nitaanzaje kuufundisha moyo wangu umpende yeye.
 7. T

  Nimezaa na nisiyempenda

  Kulea kwangu sio tatizo kabisa ni issue ndogo sana but the problem is his mother!!
 8. T

  Nimezaa na nisiyempenda

  Ha ha haa,you made my day Daud ..nilikuwa na stress but angalau zimepungua ..yaan una ni convict kwamba nina akili za kitoto kumbe wewe ndio Raisi
 9. T

  Nimezaa na nisiyempenda

  Ni haki yako kusema hayo unayosema ndugu kwa sababu hayajakukuta,but ukweli ni kwamba everything was clear before kwa sababu nili mnotify mapema kwamba sihitaji mtoto kwa miaka ya karibuni na yeye akakubali ,nikamwambia tutumie cndms akasema zinamuumiza atatumia njia nyingine za kuzia...
 10. T

  Nimezaa na nisiyempenda

  Kiukweli naweza amini hicho unachokisema ,coz mara kwa mara nilimsikia akisema anatamani kuzaa na mimi na mimi nikawa namjibu sipo tayari kwa sasa labda miaka kadhaa ya mbele..na kuna muda nilidhamilia kubreak kabisa relationship coz sikufanya mawasiliano karibia mwezi mzima sasa cjui nn...
 11. T

  Nimezaa na nisiyempenda

  Well said kaka,nadhan hili liwe funzo kwa wengine wasije pitia haya majanga kiukweli yanaumizaa ..
 12. T

  Nimezaa na nisiyempenda

  He is my son n I do love him.lakin amezaliwa kwa mama siye!
 13. T

  Nimezaa na nisiyempenda

  If possible give me the secret how to do this..unajua naweza try to love her lakin sidhan kama ntaweza show real love..
 14. T

  Nimezaa na nisiyempenda

  Umeuliza swali zuri sana,nimeanzaje kumtia wakat simpendi ..right ni kwamba she was the one who spoke to me kwamba ananihitaji,of course nilimkatalia kwamba siko tayari nina mpenzi wangu(though kwa muda huo nilikuwa single)but hakutaka kuelewa kila siku akawa anaendelewa kuniplease huku analia...
 15. T

  Nimezaa na nisiyempenda

  I regret this so badly n am feel very sorry for my soul..unajua kuna some incidence huwa zinatokea bila hata kutegemea..cjui hata nifanyeje ..when I look at my son drop of tears hits the ground
Top