Recent content by travellwr

 1. travellwr

  Computer4Sale Kwa anayetaka hii Desktop anipe 70000 tu

  vyote mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
 2. travellwr

  Computer4Sale Kwa anayetaka hii Desktop anipe 70000 tu

  nakupa CPU na MONITOR ya LG ambayo ina ukubwa wa 25"( monitor ukiplay video haioneshi vizuri lakini linafaa kwa kusomea na mambo mengine), ipo VGA, na power mbili( wire) ina ram 380( ddr 1) mb, ina slot 2 za ram tu( ram moja ina 128 mb na nyingine ina 256mb) ina window xp, mlango wa dvd uko...
 3. travellwr

  Uzi maalum kwa vitu used

  Antenaa ngumu isiopinda na haisumbui na waya wake kwa 10000 tu,,,DAR ES SALAAM...0686426298
 4. travellwr

  Uzi maalum kwa vitu used

  Stend ndogo ya flat tv au monitor inauzwa.....Bei 7000 tu 0686426298 DAR ES SALAAM.
 5. travellwr

  Naombeni wataalamu wa mambo mje hapa

  Wala sio cha wizi boss chenyewe kinauzwa 22000 tu
 6. travellwr

  Naombeni wataalamu wa mambo mje hapa

  NATARAJI KWENDA SEHEMU AMBAYO KISIMBUSI KINACHOTUMIA ANTENA HAKISHIKI NETWORK...... NAULIZA HIKI KISIMBUSI KINAWEZA KUTUMIA DISH..... nilienda kwa fundi dish wa kwanza kasema kinaweza na yeye anacho kama hiko anatumia dish...fundi wa pili ile nakitoa tu kasema hiko cha antena......pia naona...
 7. travellwr

  Fundi wa ving'amuzi(dstv, star times, azam) na kufungiwa TV ukutani

  fundi nina kisimbusi cha startimes dvb- t2, cha antena nahamia sehemu antena haishiki hadi ungo kitafanya kazi na ungo
 8. travellwr

  Msaada wasomi kuhusu Admission letter UDOM kwa Diploma

  ahsante sana bro majibu yako yamenipa dira
 9. travellwr

  Msaada wasomi kuhusu Admission letter UDOM kwa Diploma

  Kuhusu admission letter kuna aliechaguliwa Diploma UDOM na amepata admission letter mbona kila nikiangalia kwa profile ya dogo hamna chochote na muda unasonga maana nasikia Degree zishatoka. Isije ikawa profile ya dogo inashida halafu nashangaaa tu.
 10. travellwr

  ADMISSION LETTER TAYAR UDOM

  ok inawezekana bado
 11. travellwr

  ADMISSION LETTER TAYAR UDOM

  za degree tu au hata non degree program kwa dogo kuna soma hamna
 12. travellwr

  UDOM Admission Letters: Kipi kinaendelea

  au ni degree tu maana dogo ni diploma na kwa profile yake hakuna kitu
 13. travellwr

  UDOM Admission Letters: Kipi kinaendelea

  mkuu hii kitu imewekwa lini mimi mbona huku kwa akaunt ya dogo bado
 14. travellwr

  udom oas yao ina nini?

  siku ya tatu leo toka walivyotangaza majina ya non degree program siwezi kuingia kabisa kwenye profile ya dogo tuchukue hiyo barua sio asubuhi sio mchana wala usiku saa tisa
Top