hyo hali hata mm nimepitia kipind fulani ila kitu kimoja ndug yang kwnz kubali yote ulivyopoteza kwa ajili ya kamali alaf anza kufanya maomb kw imani yako utashinda hilo ni pepo linakuaga jikabizishe maish yko katk sala alaf njoo unipe ushuhuda
Mnakumbuka nlikuja na uzi kwmba nahitaji msaada hata wa mawazo,ilikuwa kushindwa kufanya mtihan wangu wa semester exam kutokana na deni langu la ada kutokana na matatizo ya kifamilia kwasabab nipo na mzazi mmoja tena naye ni mgonjwa.Nashukuru sana kwa mawazo yenu wengine mmenitia moyo...
Nimebahatika kupata mkopo kidogo katika kusoma elimu yangu ya chuo ni mwaka wa kwanza naingia wa pili nimeendelea kusoma vizuri shida ilianzia semester ya pili baada ya kupata matatizo ya kifamilia kutumia hela ya ya boom kumtibu mama yangu na kupelekea kushindwa kulipa baadhi ya hela ya ada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.