Recent content by Mr Chromium

  1. Mr Chromium

    Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

    Ethiopia ni masikini kama tu utailinganisha na population yake! kwa maana wana watu wengi kuliko wanaoweza kuwa mudu lakini kwene uchumi wanau uchumi mkubwa kuliko nchi yyte ya Africa mashariki
  2. Mr Chromium

    Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

    DRC pia ina population ya watu milion 100 lakini hakuna namna yyote Tz imefaidika na hilo
  3. Mr Chromium

    Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

    Ilikua hivo lakin sasa inaenda kuwa historia Mozambique kuna magaidi Congo vita ina miaka 30 Hivo na bado Tanzania tunapakana na ukanda wa magaidi msumbiji hivo hatupo salama sana
  4. Mr Chromium

    Nchi hatari zaid kwa binadamu kuishi duniani! China, Iran & Saudi arabia

    Hivi vitu vizuri kuviongea kama wahusika sio mwanao au ndugu yako
  5. Mr Chromium

    Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

    Hao wahamiaji haramu ndio watafaidi nchi haifaidiki na wahamiaji haramu
  6. Mr Chromium

    Mwanza ni kugumu sana

    kwakweli nakuunga mkono
Back
Top Bottom