Recent content by Tonge

  1. Tonge

    Mdahalo: Ndugai vs Lissu - Jumamosi Julai 30

    Ndugai aandike maumivu kwa Lissu, atasambaratishwa mpaka aone cha moto.
  2. Tonge

    Jk yuko mapumziko Bilila Lodge Serengeti

    Hapo si karibu na Samunge? ila kikombe hakirudi nimekumbuka.
  3. Tonge

    Waziri Nchimbi umetia aibu

    Kwa nini wasimuulize Tenga? Mi naona mtu sahihi wa kujibu hilo ni Tenga viongozi wenzake ndio wanaotakiwa kuhakikisha nyavu za uwanja zinakuwa bora kabla ya mwashindano na pia uwepo wa standby generators, N aje kwa nini siku Ynga wakicheza ndio matatizo hutokea nyavu na umeme, Mi nahisi mbadala...
  4. Tonge

    KICHEFU CHEFU:SAKATA LA RADA:Kina Ndugai wataka kina Chenge washitakiwe

    TIMU ya wabunge walioenda nchini Uingereza kufuatilia malipo ya rada kwa Serikali ya Tanzania imekabidhi ripoti yake kwa Spika wa Bunge inayopendekeza mambo mawili, ikiwamo kushtakiwa kwa wahusika wa sakata hilo hapa nchini.Timu hiyo ya wabunge wanne ikiongozwa na Naibu Spika, Job Ndugai...
  5. Tonge

    Mgao wa umeme: WaTanzania tuamke, tuukatae

    Uoga wetu ndio umasikini wetu, tumezidi kuwa waoga kuandamana ili kudai haki zetu, kwanza hatujui haki zetu ni zipi na uoga wa kuzidai ndio umejaa.Tutazidi kuonewa, kunyanyaswa na kuteswa mpaka tutakapo jitambua kama hao wenzetu wa senegal.
  6. Tonge

    BUNGENI: Waziri Ghasia awasilisha Bajeti yake; mishahara yapanda

    Mi nilijua tu kuwa salary incriment ni ndoto, ila tunasubiri kina Magaya wawashe moto. Huku mtaani tayari kila kitu kimepanda bei, hata wakiongeza mshahara hakuna tija labda wapunguze bei ya mafuta ndio angalau maisha yaweza shuka ila kwa uzoefu wangu Tz kupanda kwa bei za bidhaa ni mara moja...
  7. Tonge

    Wageni Ka Babu Loliondo Bei Juu.

    Mtoa hoja, nakuliza, Je shilingi mia tano ni dola ngapi? Kama mtu hana tsh cash ndio maana babu akasema iwe 1 dola, wapo wakenya wanatoa mia tano kwani huweza kuzibadili mpakani.Nafikiri hii ni kurahisisha ulipaji wa huduma sio ubaguzi.
  8. Tonge

    Kikwete na semina elekezi kwa Mawaziri - Dodoma 2011

    Jama ****** tangu apige kikombe cha BABU kama anaongea point kweli tena na msisitizo, ila bado tunahitaji tuone utekelezaji na uwajibishaji wake, isije ikawa kelele za chura zinazoshindwa kumzuia tembo kunywa maji. :bange:
  9. Tonge

    Mishakaki ya Paka

    :juggle: chaoooooooooo............................!!!!!!!!!
  10. Tonge

    kwa babu loliondo video

    Umati huo waote wanatafuta uponyaji, kisha mjinga mjinga mmoja tena fisadi anasema dawa ya baubu haiponyi, Mungu anawapenda watu wake na wakati wa uponyaji ni huu, asiye amini basi na aendelee kuteketea.
  11. Tonge

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Mrema kapigwa na kisukari zaidi ya miaka 30 na sasa uso wake unang'aa, jana TBC1 katoa ushuhuda, Sasa huyu rostam na ndugu zake hawana imani na hawamjui Mungu ndio maana hawawezi kupona kwa babu, ukiwa na imani utapona kama wengine waliopona.
  12. Tonge

    Ziara ya Rais Kikwete Hazina na 'Long Room' (leo)

    JK anaonekana kama anapata nuru ya usoni, haya ni matokeo ya KIKOMBE CHA BABU loliondo.
  13. Tonge

    Magufuli,jiuzulu kuonyesha Uadilifu

    Sioni ni kwa nini Magufuli ajiuzuru, aibu ni ya Mizengo kwa kuropoka kwenye halaiki ili apate umaarufu wa kisiasa, hawa mawaziri na waziri wao naona wanaendesha nchi kama genge la vibaka, hakuna hata maelewano baina yao.Magufuli kaza uzi.
  14. Tonge

    Waislam msiende liliondo- redio kheir

    Naafikiana na kutokwenda kwao ili sisi tuliowapenda Yesu tupate kupona kwa msaada wa Mungu, waendelee na ngono zao sisi tunaenda kwa Babu akatupe kikombe cha uzima.
  15. Tonge

    Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

    Huo ni wivu wa kakobe, wauminiwake wanakufa kwa njaa na magonjwa na watoto wao hawaendi shule kwa kukosa ada, yeye anatembelea nissan patrol na watoto wake wanasoma ulaya na kutibiwa hospitali kubwa, Babu saaafi, waache watu wakapate uponyaji kwa babu, kile kikombe kweli ni cha damu ya...
Back
Top Bottom