Recent content by Unknown2

  1. U

    Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

    1. Bashiru Ally Kakurwa 2. Humphrey Polepole 3. Abel Makubi 4. Luhaga Mpina 5. Kassim Majaliwa 6. Philip Mpango
  2. U

    Utabiri wangu: Yanga watashinda kwa mgoli 2 dhidi ya CR Belouizdad na yote yatafungwa na Mzize

    Bado utabiri wako haujawa subjective to changes? Unao muda wa kurekebisha mkuu!
  3. U

    Doto Biteko njia alotengeneza Makamba ni mbovu. Kwa kuanza tengeneza yako!

    Angalia utendaji wa mtu, hakuna mtu anayefikia nyadhifa kubwa bila kuwa na kundi nyuma yake.
  4. U

    Doto Biteko njia alotengeneza Makamba ni mbovu. Kwa kuanza tengeneza yako!

    Kaharibu sana. Hafai kwa cheo chochote!
  5. U

    Doto Biteko njia alotengeneza Makamba ni mbovu. Kwa kuanza tengeneza yako!

    Mh, kwanza nakupongeza kwa kuwa Waziri mpya wa Nishati. Nina imani na wewe! Mhe, kutokana na imani niliyonayo kwako.. nisingependa kuona unaharibu kama alivyofanya mtangulizi wako. Hivyo basi nakushauri kufanya yafuatayo : 1. Tengua bodi aloteua Makamba. Bodi imejaa watu wenye makando kando...
  6. U

    Bandari zetu ni masalia tusikubali nazo zitutoke

    Umeongea kwa hisia sana mkuu! Ila usijali, kuna kitu kinaniambia kuwa bandari hazitachukuliwa.... hata vilivyochukuliwa kienyeji vitarudi. Kwa imani yangu siachi kusali na kuliombea taifa langu.
  7. U

    Je, Kuna mkakati wa kuwatisha viongozi wa nchi hii?

    Kwa kawaida vita (cold war) kati ya wazalendo na wanyonyaji huwa haziishi. Ni tangu enzi na enzi. Hupoa kwa muda ila badae hurudi tena. Wazalendo wakishindwa basi wanyonyaji huanza kupambana wao kwa wao mpaka wazalendo wakiinuka tena. Mfano unalionaje suala la bandari? .......The League..….
  8. U

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Naiona vita ya Accountant na Annie ikihamia kwa Annie na Carryn! Kama ulivyo amua kubaki na Annie mwanzo bila kumficha Accountant, hata sasa amua kubaki na mmoja tena kwa uwazi. Kwa mtazamo wangu wewe sasa hutakiwi kupigania mapenzi bali maisha (mali)! Kama yupo anayeku-offer vyote at a time...
  9. U

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Uwepo wa Anie (kama utashindwa kuficha) utakunyima fursa kwa Caryn. Feelings kwa Caryn zitakupunguzia ufanisi kazini na utashindwa ku-focus kwenye malengo yako! Nb: Kwenye kura I go for Caryn!
  10. U

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Itakubidi uamue kumpoteza mmoja japo naona kuwa matokeo yake yatahitaji ujasiri sana! Ningekuwa mimi ningeachana na Anie..... Wakati huo ningeishi na Caryn bila kuonesha feelings zozote kwake! Kiufupi ningefocus kwenye kazi tu!
  11. U

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Mkuu, kwanza hongera kwa uandishi mzuri! Pili, nakushukuru kwa kujitolea kuleta simulizi hii! Ukiacha kuburudisha akili, mtu makini hakosi cha kujifunza hapa! Tatu, kwa mtazamo wangu ondoa fikra za mapenzi kwa Caryn. Endelea kufanya kazi kwa bidii, ubunifu, kujishusha huku ukitanguliza akili...
  12. U

    Huwezi ukaongoza nchi kwa visasi ukafanikiwa. NEVER!

    Kwa taarifa yako uponyaji umeanza 2015.... hakuna kinachotokea/kitakachotokea kwa bahati mbaya! Ombea uponyaji ukamilike kadiri ya malengo ya waponyaji!
  13. U

    Dark days 17/03/20...

    Hakuna Rais au kiuongozi mkubwa wa serikali anayeuwawa na watu wa nje ya system.
  14. U

    Dark days 17/03/20...

    Kwanza hakuna mahali nimemtaja Kikwete mkuu, muache mwamba ale mafao yake. Pili, sipendi kuingia deep kuhusu suala la gesi ila ninachojua ni kuwa liliwahi kunisikitisha sana... hivyo tuliache kama lilivyo. Kuhusu Facebook kama ilivyo JF watoa maudhui ni walewale. Hivyo sio kila kilichopo FB ni...
Back
Top Bottom