Recent content by Ze Bulldozer

  1. Ze Bulldozer

    Saed Kubenea: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow?

    Kafulila ni kijana MúunGwana sana
  2. Ze Bulldozer

    Saed Kubenea: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow?

    LEO PAMBA NI TSH800 NAONA KAMA KAFULILA ANAKAUKWELI Ni Kafulila yule yule ambaye akiwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, mkoa ambao asilimia 70 ya Pamba ya Tanzania inatoka huko ni yeye aliyeza kudhibiti vyama vya ushirika na mfumo mzima wa ununuzi wa pamba, ambayo iliwafanya wakulima kuuza pamba yao...
  3. Ze Bulldozer

    Serikali imeanza kuingiza udini katika sera zake? Suala la masomo ya kiislamu na Divinity yanatoka wapi?

    Hapana hii sio sawa Taifa hili halina dini, Kama mtu anataka kusoma hayo masomo aende kwenye shule zinazotoa hayo masomo na ziwe ni shule binafsi.
  4. Ze Bulldozer

    Africa: Tanzania yashika nafasi ya kwanza kwa nchi zenye watu wenye furaha zaidi

    Mbona wameandika kitu kizuru sana hapa?
Back
Top Bottom