Recent content by Thomas JM

  1. Thomas JM

    KERO Hali mbaya ya huduma Hospitali ya mkoa Temeke

    Hali ya huduma Hospitali ya Mkoa Temeke ni mbaya sana Nimekuja na mgonjwa ni zaidi ya dakika arobaini hakuna huduma yoyote, vyumba vya madaktari viko wazi, Waliopo wanadai kila mmoja sio zamu yake. Wagonjwa tuliopo hapa hata hatuwaelewi, wengine hawajui wanasaidiwa na nani na...
  2. Thomas JM

    Orodha ya ndoto takribani zote na maana zake

    Mh Hizi ndoto mbona zaniogopesha?
  3. Thomas JM

    Dark days 17/03/20...

    R.I.P
  4. Thomas JM

    JSL Consultant: Tunasajili biashara, kampuni, NGO kwa bei nafuu

    Mkuu naomba nifike ofisini tuzungumze kwa kina
  5. Thomas JM

    Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

    Kuna mwalimu aliitwa Limota,Shambalai high School,2013 Waliokuwepo pale watakua wanamkubuka vyema
  6. Thomas JM

    Kuna foleni kubwa kuanzia Kimara Kibo. Watumiaji wa barabara hiyo tafuteni mbadala

    Wakazi na watumiaji wa Morogoro road leo muwe wavumilivu tu, la sivyo muwe na mbadala. Kuna foleni kuanzia kimara kibo, magari yanasogea mwendo wa konokono. Nawasilisha
  7. Thomas JM

    Wapi naweza pata vibarua vya saidia fundi kwa hapa Dar

    Mpaka sasa haipokelewi mkuu?
  8. Thomas JM

    Wapi naweza pata vibarua vya saidia fundi kwa hapa Dar

    Habari Nahitaji VIBARUA 10. Eneo la KAZI ni GSM MALL PUGU KARIBU NA QUALITY PLAZA. Malipo ni 10,000 + Chakula hapo kwa siku +255 620 815 059 Robert - wasiliana na huyu jamaa
  9. Thomas JM

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Profession: Sales & Marketing Experience : 4+ years Education: Bachelor in Logistics & Transport management Location: Dar es salaam
  10. Thomas JM

    Plot4Sale Nauza kiwanja,kibaha picha ya ndege

    Mzigo bado upo,napatikana kwa namba 0747339483
  11. Thomas JM

    Plot4Sale Nauza kiwanja,kibaha picha ya ndege

    Kiwanja kizuri sana Kina huduma zote Maji Umeme Barabara Kipo nyuma ya shule ya msingi twende pamoja Jirani na gereza la mahabusu kibaha (sofu) Kina ukubwa wa mt 20 kwa 25 Barabara ipo mpaka kiwanjani Mkataba wa mauziano toka serikali za mitaa Hakina mgogoro wa aina yoyote Bei 7.5m tu Kwa...
Back
Top Bottom