Recent content by Think Tank

  1. T

    JamiiForums Tanzania Amuua kwa kumchoma kisu kichwani, kisa wivu wa mapenzi

    Mambo matatu yanayomsumbua mwanadamu (awe Me/Ke) : - 1.Madaraka 2.Hela/Fedha 3.Ngono Ndo vita ipigwanayo kimya kimya hapa duniani.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mzee Kisumo kijiji cha Ngujin Usangi, Alhamisi Tarehe 13 Agosti, 2015

    Eti msafara mkubwa! Atamkimbia mpaka lini! Siku ya Kumkabidhi Nchi atatuma mwakilishi! Sifa mojawapo ya Marehemu kuzikwa na watu wengi,leo hii haitakiwi! Siasa za kototoo!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini Magufuli ataacha kumsifia Kikwete?

    Wakulima Sitawaangusha!Wafanyakazi Sitawaangusha!Bodaboda Sutawaangusha!Wafugaji Sitawaangusha! Wasanii Sitawaangusha!Wafanyabiashara Sitawaangusha! Wanafunzi Sitawaangusha!Wanawake Sitawaangusha!Vijana Sitawaangusha! Mh. Kikwete Sitamwangusha!Ukawa Sitawaangusha! Nichagueni Sitawaangusha...
  4. T

    JamiiForums Tanzania PCCB ndani Ufisadi wa Lissu Jimboni: Wajipanga Kumbana Vilivyo!

    Kazi kweli kweli! Mwaka huu tutasikia na kuona mengi!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Bila Lissu Bungeni tungeburuzwa sana

    Mh. Lusinde hakurekebisha kifungu chochote?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda afunguka

    Namhurumia Huyu kipaza sauti! Nimeicheki kwa makini picha ya 24 Hours, niliuongopa usalama wa taifa kwa maana ya kufanya kazi na pia siasa niliichikia. Jinsi aliyepo kwenye madaraka anavyojizatiti huku anaye taka kuongia akimfanyia fitina aliye kwenye madaraka. Na anaye pigwa vita akiingia...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

    Mkuu tupo pamoja! Kwa range sipindui iwe ya kinduu au kike hayo ni makelele tu! Akipita Range Rover hata asiyejua gari lazima aitolee macho! Range tamu has a muungurumo wake,tatizo wabongo mnafikiri kila gari inatengenezwa kwa kuangalia njia zenu! Range si ya vjjn,hii gari kwake lami utaipenda...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    Mkuu sikumanisha Tanzania kupigana na Marekani,mbali nilikuwa nasemea ubora wa jeshi letu ardhini. Hata kuna taarifa nchi ya Burundi imeiomba Tanzania kwenda kuwasaka waasi. Je hakuna nchi nyingine? Huwezi enda benki kutibiwa malaria au uende hospitali kuhifadhi fedha! Na kote huko wakienda...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    Pamoja mkuu! Hatungombani ,bali tunaelimisha kama vijana na tena kama wanaume,ulinzi unaanza sisi wananchi kwanza. Tusije ona adui tukashindwa kukabili eti tunasubilia polisi au jwtz.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    Ha ha ha ha ah! Umenichekesha kweli! Ndugu zangu wa kitunda wakiwa na baiskeli zao huku wamefunga sime kwenye baiskeli zao huonekana washamba! Hawajui maisha ni vita na muda wowote hali inaweza chafuka! Sisi huku kama serikali ingeruhusu tumiliki siraha kabla ya kuwaza kununua viipad sijui...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    Ona sasa unashindwa kutofautisha kuchati na kuongea! Mimi naongeo na wewe hapa! Alafu fikra sahihi huja kwa kutumia lugha yako, ni kweli nina tatizo la r na l na pia nga na ga ,nimeathiriwa na lugha ya kikurya na wala siogopi kukosolewa na yoyote na popote nikianza kuongea natambulika,hata...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    Kwahio kwa akili yako unafikili hii serikali yako itakuletea ndege zsizo na rubani! Hujawahi kujiuliza kwanini jeshi letu lipo vzuri sana ardhini? Hata Amini alikuwa vzuri angani ,lakini nini kilimpata!Wamerakani pamoja na nguvu zao kijeshi na kuwasidia wairaki hujiulizi kwanini ObOMA HAPELEKI...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    kwa tulio soma histolia tulifundishwa hivi! Hasa kwenye active resistsnce na passive resistnce,tuliambiwa hivi au tulifundishwa hivi wanaume wa pwani wao walisema,wao wote ni wanawake! Eti ndo ilikuwa resistsnce yao! Kumbe wakiogopa shuruba au kazi za kiume. Kwahio si shangai wewe kuona...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    Huku kwetu Mara,ukimpa mwanaume wali usifikili ndo basi! Hapo mpaka ugali uje ndo umemaliza kazi! Wali ni chakula cha kina mama wakitoka kujifungua tena kwa ushauri wa watalaamu wa afya! Eti wali ndo bonge la msosi! Mi nikitoka lingembe napiga busara jagi mbili ndo nasubilia chai na mihongo...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    Si ndo hawa walisema wamempiga makondakta,alafu kesho yake anauza sura wala haijatutusika kama Patcho Mwamba akipata baadhi vilevi vinamvibisha sura! Watoto wenyewe mateja! Si mnaonaga hata maandamano huko huwa hayawezekazni kabisa mpaka Mwanza,Arusha au Mbeya. Hapo mateja tu hivyo je wawaone...
Back
Top Bottom