Recent content by The lost

  1. The lost

    Je, ndio mwisho wa Paul Pogba kisoka? Afungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka 4 kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli

    jamaa tangu amkatae kristo mambo yamemgomea kabisa. ama kweli the shit is real.
  2. The lost

    Kigwangalla: Rafiki yangu aliyempinga sana hayati Magufuli sasa amkubali, aelekea Chato kuomba radhi kaburini na kuweka maua!

    hatari sana mkuu, anashindwa kwenda kumuomba msamaha baba yake mzazi aliyemtukana na kumtelekeza angali hai anahangaika na wafu! so sad.
  3. The lost

    Kwanini Biashara ya Sukari inasimamiwa na Waziri wa Kilimo?

    bado mchengerwa ameagiza wakuu wa mikoa kusimamia usambazaji wa sukari,
  4. The lost

    Nchimbi: Uhusiano wa Tanzania na Urusi kuboreshwa kunufaisha pande zote

    CCM inaomba msaada wa urus kusaidiwa kwenye maswala ya kuisaidi serikali isiangushwe, kwa mujibu wa taarifa za kijasusi urus imekuwa ikizisaidia viongozi wa Afrika kuwalinda wasiondolewe madarakani kwa malipo ya kupewa rasilimali.
  5. The lost

    Luhaga Mpina apiga kura kukataa azimio la Bunge la kufuta kigezo cha JKT kuajiriwa kwenye Majeshi ya Ulinzi na Usalama

    bunge limeona mbali, imekuwa majeshi yote magereza, polisi, wananchi na zimamoto plus uhamiaji na uokoaji lazima umepitia JKT jambo ambalo si la mhimu. JKT ni kitengo tu ama idara chini ya JWTZ sasa kwanini kiwe ndo pass mark ya ajira kwa majeshi takiribani yote. JKT haliwezi kutumika kama...
  6. The lost

    South Africa (Bafana Bafana) washika nafasi ya tatu katika Afcon

    DR CONGO hawajielewi wanapanga mimtu ya hovyo. Wamekosa goli nyingi kwa kulazmisha kila mtu acheze. WTF
  7. The lost

    Baada ya vyama vya upinzani kushika dola Zimbabwe, Kenya, Malawi na Zambia, tunajifunza nini?

    zimbabwe kuna upinzani umeingia ikulu? duh nipo mbali sana na siasa za dunia
  8. The lost

    Nimekutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni

    wasukuma wanakoo zao na msingi wa hzo koo ni uadui. Wasukuma wa kaskazini (sukuma) hawa ni wale wa mwanza na maeneo ya shinyanga, wasukuma wa kusini (dakama) hawa ndiyo wanyamwezi wasukuma wa mashariki (keya) hawa ni wanyatunzu yaani wasukuma wa bariadi, maswa na maeneo ya kwimba mkoani mwanza...
  9. The lost

    Kujiuzulu kimyakimya ni kulinda Staha, Ukiomba kibali kujiuzulu unatumbuliwa

    watu smart pekee hutoa taarifa kwa wananchi na si vinginevyo!
  10. The lost

    Biashara ya matangazo kupitia majarida

    tusalimie kwanza ndiyo tuzungumze.
  11. The lost

    Ushauri wangu kwa Serikali ya CCM wa namna ya kupata pesa

    tirion 10 wanazipata wapi kwa mkupuo mkuu,
  12. The lost

    Swali; Baba watoto hao wanacheza mpira?

    kuonesha mshikamano tu nothing else.
  13. The lost

    Paul Makonda: Lissu mjanja ameona maandamano hayana maana

    PAUL MAKONDA mwenzako SABAYA alipambana na chadema akaishia jela. Sauti ya wengi sauti ya Mungu.
Back
Top Bottom