Recent content by The Infinity

 1. The Infinity

  Tukio la kihistoria: Wanasayansi Marekani wafanikiwa kurusha helikopta ndogo kwenye sayari ya MARS

  hatar sana juno mission kwenda jupiter ilichukua miaka 5 NASA ni wavumilivu sana
 2. The Infinity

  Tukio la kihistoria: Wanasayansi Marekani wafanikiwa kurusha helikopta ndogo kwenye sayari ya MARS

  kitendo tu cha kurushwa kwenye anga nyembamba ya mars huku ikiongozwa kutokea duniani ni mafanikio tosha
 3. The Infinity

  Tukio la kihistoria: Wanasayansi Marekani wafanikiwa kurusha helikopta ndogo kwenye sayari ya MARS

  The American space agency has successfully flown a small helicopter on Mars. The drone, called Ingenuity, was airborne for less than a minute, but Nasa is celebrating what represents the first powered, controlled flight by an aircraft on another world. Confirmation came via a satellite at Mars...
 4. The Infinity

  Vodacom wanaingilia mpesa ya mteja na kutoa pesa zote kulipia nipige tafu bila hiari ya mtu

  Yani voda walinifanyia hivo hivo yani wanakata chao(mfano wanakudai 500) na ww labda umetoa 30,000 hio 25,000 wanaileta kwenye salio la kawaida yani huu ni zaidi ya ujambawazi
 5. The Infinity

  Ushuhuda: Nilichokiona kwenye kikao cha ukoo/familia, bila pesa huthaminiwi

  mi ishawahi kunitokea niliposimama kuchangia mada, kaka mkubwa akanistopisha akaniambia "Tafadhal sana mdg wangu, hapa hatujadili masuala ya punyeto" ilinibidi nikae tu chini 😣
 6. The Infinity

  Rangi nyeusi si rangi ya asili ya binadamu

  una upumbavu kilo 100 wewe
Top Bottom