Recent content by Mangungo II

  1. Mangungo II

    Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

    Cult members wa GOT [emoji2]Hamtaki kukubali GOT kupitwa ubora na series yeyote... Mko ka waamuni wa KIBWETERE. [emoji1787][emoji1787]
  2. Mangungo II

    Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

    Ser Bronn of Blackwater, Master of Coin, lord of HighGarden, Warden of South. [emoji2]
  3. Mangungo II

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    "There is no just in world until we make it" - Lord Baelish(Littlefinger)
  4. Mangungo II

    Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Kama ningekuwa Rais wa hii nchi siku ya kwanza tu naingia ofisini NAVUNJA MUUNGANO haraka sana bila kupepesa macho. MUUNGANO ni zimwi linaloimaliza TANGANYIKA. probably Tanganyika ingweza kuwa SUPERPOWER Hapa Afrika kitambo ila kwakua tunabeba matatizo ya kikundi Fulani Cha watu wavivu kufikiri...
  5. Mangungo II

    USIENDE KUKOPA KWA HIZI KAMPUNI MAARUFU ZA MIKOPO HASA KWA WATUMISHI WA UMMA.

    Naam!! Kitambo sijaandika Uzi humu. Mara nyingi ni mchangiaji ila Leo nimepata sababu ya kuandika kitu hapa labda kitawasaidia watu au kuwakumbusha tu. Kama wewe ni mtumishi wa umma au una ndugu kapata ajira hivi karibuni. Naomba nikuusie. USIJE JARIBU KUOMBA MKOPO Kwa hizi hizi kampuni...
  6. Mangungo II

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Kula mke wa mtu mwisho mara mbili tu. Hii ni kwa mabazazi na wazinzi wote. Usikate kuchomga mzinga litakupata. Piga one, two , tembea. Acha Alie . Hata Kama ni mzuri kiasi gani!! Ukitaka kujidai sharukh Khan!! ,Itakucost
  7. Mangungo II

    Battle: Lilongwe VS Mbeya

    Sijafika Lilongwe ila mbeya bado sana aisee japo napenda ila bado sana. Nilikuwa juzi huko kwenzi wa 10 hapo kumebadilika kidogo tofauti na mara ya mwisho kuwa mbeya 2011. Mbeya inapaswa kwanza kujenga barabara nyingine kutoka Nanenae hadi mbalizi ukiachana na hii iliyopo Sasa Halafu...
  8. Mangungo II

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Makonda ni KIRUSI kinacholelewa na CCM. Kitakuja kuwatafuna wao wenyewe.
  9. Mangungo II

    Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Kitu ambachi sielewi why Temeke imefanikiwa kuwa na Lami vichochoroni. Ubungo Moja ya manispaa yenye ukwasi mkubwa imeshindwa wapi!?
  10. Mangungo II

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Uza hio plot nenda kiluvya. Au jenga ka gorofa kakishkaji pangisha
  11. Mangungo II

    Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

    Demu wa Fulani alikuwa anaitwa Zainabu. Ni ustaadhat Ile mbaya. Kila akija geto kufanya yetu anasema nimuandaliwe NOAH nusu kilo na ndizi zake Tatu plus bia yake ya Serengeti lite[emoji2]. Kwanza nilikuwa siamini kama anakitafuta nilienda ninua nikakiweka ndani. Nikasema asipokuwa nitakula...
  12. Mangungo II

    Nahitaji msaada wenu ndugu zangu katika ili swala

    Tafuta demu mpya. Akizingua tupa vuta ingine weka ndani akileta uhuni tupa kule. You should ruthless whein it comes to women. Sababu hawanaga akili ila wamejaa mahisia kibao. Nasisitiza matumizi zaidi ya AKILI na sio HISIA.
  13. Mangungo II

    Nahitaji msaada wenu ndugu zangu katika ili swala

    Huwa tunaingia nusu nusu kwenye mapenzi. Achana na mademu wanaojipa standard za juu. Tafuta mtoto Mbichi wa kawaida weka ndani. Hao matawi piga mbupu halagu kausha kisela. Sio uhuni inaongeza hadhi ya KIUME. acha kujifanya SHARUKHANI. inatakiwa utafute demu unaeona anafaa OA. Utampenda...
  14. Mangungo II

    Martin Maranja Masese atafutiwe Jimbo agombee 2025

    Kama mtu kama kibajaji, msukuma, wako bungeni. Hata mimi ninao huo uwezo tena nimewashinda kwa mbali sana kimaono na hata kujenga hoja. Sema Sina connection tu
Back
Top Bottom